monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma ipi?
Unadhani upuuzi unaoongea hapa ndugu wa Marehemu wanakuelewa? Ndugu zào wamefia umbali wa uwanja wa mpira bila msaada wa serikali ya CCM halafu unawaletea ngonjera za risala ya Shaka?Asante Sana CCM na hii ndio tofauti yako na vyama vingine
Haswa kile chama chenye makao makuu pale mtaa wa ufipa.Asante Sana CCM na hii ndio tofauti yako na vyama vingine
Shaka Shaka huu ni upungufu mkubwa wa kiakili na utendaji.Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
A failed state. Kuna la kujivunia hapa? Upuuzi mtupu.Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Haswa kile chama chenye makao makuu pale mtaa wa ufipa.
Sio hivyo wewe uchwara. Mada inahusu salamu ya rambirambi iliyotolewa na chama cha siasa. Hakuna unafiki wowote.Punguza siasa na unafiki. Baadala ya kushughulikia tatizo mnawaza siasa. Tatizo lako umeifanya siasa Kama Vita ta kuuana, upo tayari kuua mtu kisa siasa. Huna hata huruma ya watanzania wenzako waliokufa , unawaza CHADEMA tu.
Ajali iliyotokea sehemu kubwa imesababishwa na uwanja mdogo wenye runway fupi kupindukia na wenye location mbaya (karibu na ziwa), siyo mara ya kwanza ndege kuanguka ziwani, imeshatokea mara nyingi iwe ziwa Victoria, Manyara au Rukwa.Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Noma ipi?
Tumevuna aibu kubwaSalamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Chama changu kimeiga sera za makaburuSerikali ya CCM inaona fahari kununua vifaa vya kisasa vya kuumizia watu kama vile magari ya washawasha na mabomu ya machozi lakini inapuuzia kunujua vifaa vya kisasa vya kuokoa maisha ya watu.
Katika wavuvi 100 waokoaji waliofika mapema eneo la tukio basi 99 walikuwa ni Wana CCM. Huo ndio ukweli.Chama tawala badala kiwe cha kwanza kufika eneo la tukio na kufanya uokozi ...kinakuwa Cha kwanza kutoa salamu za rambirambi
Amebeba mtoto aliyeokolewa kwa zana duni mno
Miaka 30 Chama kimeshindwa kujenga Ofisi lakini kinataka tukiamini kijenge Zahanati kijijini kwetuHaswa kile chama chenye makao makuu pale mtaa wa ufipa.
Hata Wewe unatakiwa kujiuzuru kwa hiki ulichoandikaAjali iliyotokea sehemu kubwa imesababishwa na uwanja mdogo wenye runway fupi kupindukia na wenye location mbaya (karibu na ziwa), siyo mara ya kwanza ndege kuanguka ziwani, imeshatokea mara nyingi iwe ziwa Victoria, Manyara au Rukwa.
Runway ya Bukoba ni fupi, kwa hiyo hata rubani anapopata tatizo akatua ghafla lazima ataangukia ziwani kwa sababu ya ufupi wa runway.
Kwa case ya Bukoba, hii ni aibu kubwa, uwanja umekaa ovyo na umezungukwa na makazi ya watu kila upande na ni hatari kwa maisha ya watu kutokana na ufinyu wa eneo.
Uokoaji uliofanyika ni ovyo kutokea, kwanza ulikuwa hakuna uokoaji pale, bali wavuvi waliosaidia kuwaokoa watu 26 ni wavuvi waliokuwa na zana hafifu na wasio na uzoefu lakini waliweza je wangekuwepo professionals?
Pale hakuna ambaye alipaswa kufa, ilikuwa rahisi kuwakoa kwa kuwa ndege ilikuwa haijazama yote, kama waliweza kuwatoa watu 26, kungekuwa na effective rescue.....Watu wengi wangeokolewa, ILIKUWA SUALA LA KUWAHI KUINGIA KWENYE NDEGE NA KUWATOA WATU KUWAPELEKA KWENYE BOATS, au kuwaweka kwenye bawa za ndege wakisubiri uokozi.
Watu wamekaa muda mrefu ndani ya ndege, hivi utategemea wapone kweli? Haya mambo ya kufanya kisiasa inaendelea kumaliza nchi yetu.
UOKOAJI WA TANZANIA NI WA OVYO KUPINDUKIA, UTAOKOAJE KWA KUTUMIA KAMBA? ETI UNAVUTA NDEGE KWA KAMBA....HII AIBU MTAIPELEKA WAPI?
Waziri mkuu ameshindwa kabisa kupambana na majanga rahisi tu, anatakiwa ajiuzulu.