Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Shaka Shaka huu ni upungufu mkubwa wa kiakili na utendaji.
Watu mnapiga pesa badala ya kuangalia mambo muhimu ya kuwakuta waTanzania.
Huu ujumbe wa pole ni kuwahadaa waTanzania na Dunia mzima inayoona mapungufu ya jinsi ya uokoaji.
Nani wa kulaumiwa ni Serikali ya CCM.
Tunaona ni jinsi gani hakuna hata huduma ya zimamoto kila Mkoa, Wilaya sembuse Halmashauri!
Lakini kila siku mnakuja hapa kwenye vyombo vya habari kusifia na kufukuza mtu Fulani.
WHERE ARE WE HEADING Ndani ya CCM hii ya Wezi!??
 
Haswa kile chama chenye makao makuu pale mtaa wa ufipa.

Punguza siasa na unafiki. Baadala ya kushughulikia tatizo mnawaza siasa. Tatizo lako umeifanya siasa Kama Vita ta kuuana, upo tayari kuua mtu kisa siasa. Huna hata huruma ya watanzania wenzako waliokufa , unawaza CHADEMA tu.
 
Sio hivyo wewe uchwara. Mada inahusu salamu ya rambirambi iliyotolewa na chama cha siasa. Hakuna unafiki wowote.
 
Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Ajali iliyotokea sehemu kubwa imesababishwa na uwanja mdogo wenye runway fupi kupindukia na wenye location mbaya (karibu na ziwa), siyo mara ya kwanza ndege kuanguka ziwani, imeshatokea mara nyingi iwe ziwa Victoria, Manyara au Rukwa.
Runway ya Bukoba ni fupi, kwa hiyo hata rubani anapopata tatizo akatua ghafla lazima ataangukia ziwani kwa sababu ya ufupi wa runway.

Kwa case ya Bukoba, hii ni aibu kubwa, uwanja umekaa ovyo na umezungukwa na makazi ya watu kila upande na ni hatari kwa maisha ya watu kutokana na ufinyu wa eneo.

Uokoaji uliofanyika ni ovyo kutokea, kwanza ulikuwa hakuna uokoaji pale, bali wavuvi waliosaidia kuwaokoa watu 26 ni wavuvi waliokuwa na zana hafifu na wasio na uzoefu lakini waliweza je wangekuwepo professionals?
Pale hakuna ambaye alipaswa kufa, ilikuwa rahisi kuwakoa kwa kuwa ndege ilikuwa haijazama yote, kama waliweza kuwatoa watu 26, kungekuwa na effective rescue.....Watu wengi wangeokolewa, ILIKUWA SUALA LA KUWAHI KUINGIA KWENYE NDEGE NA KUWATOA WATU KUWAPELEKA KWENYE BOATS, au kuwaweka kwenye bawa za ndege wakisubiri uokozi.

Watu wamekaa muda mrefu ndani ya ndege, hivi utategemea wapone kweli? Haya mambo ya kufanya kisiasa inaendelea kumaliza nchi yetu.

UOKOAJI WA TANZANIA NI WA OVYO KUPINDUKIA, UTAOKOAJE KWA KUTUMIA KAMBA? ETI UNAVUTA NDEGE KWA KAMBA....HII AIBU MTAIPELEKA WAPI?

Waziri mkuu ameshindwa kabisa kupambana na majanga rahisi tu, anatakiwa ajiuzulu.
 
Chama chakavu badala ya kuwekeza kwenye zana bora za uokozi, mnawekeza kwenye salamu .
 
Serikali ya CCM inaona fahari kununua vifaa vya kisasa vya kuumizia watu kama vile magari ya washawasha na mabomu ya machozi lakini inapuuzia kunujua vifaa vya kisasa vya kuokoa maisha ya watu.
 
Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
View attachment 2408767
Tumevuna aibu kubwa
Tumepoteza ndugu zetu kwa uzembe wenu mkubwa

Acheni kujifaragua, kaeni kimya kwanza maombolezo yapite.
 
Chama tawala badala kiwe cha kwanza kufika eneo la tukio na kufanya uokozi ...kinakuwa Cha kwanza kutoa salamu za rambirambi
Katika wavuvi 100 waokoaji waliofika mapema eneo la tukio basi 99 walikuwa ni Wana CCM. Huo ndio ukweli.
 
Ajali iliyotokea sehemu kubwa imesababishwa na uwanja mdogo wenye runway fupi kupindukia na wenye location mbaya (karibu na ziwa), siyo mara ya kwanza ndege kuanguka ziwani, imeshatokea mara nyingi iwe ziwa Victoria, Manyara au Rukwa.
Runway ya Bukoba ni fupi, kwa hiyo hata rubani anapopata tatizo akatua ghafla lazima ataangukia ziwani kwa sababu ya ufupi wa runway.
Kwa case ya Bukoba, hii ni aibu kubwa, uwanja umekaa ovyo na umezungukwa na makazi ya watu kila upande na ni hatari kwa maisha ya watu kutokana na ufinyu wa eneo.
Uokoaji uliofanyika ni ovyo kutokea, kwanza ulikuwa hakuna uokoaji pale, bali wavuvi waliosaidia kuwaokoa watu 26 ni wavuvi waliokuwa na zana hafifu na wasio na uzoefu lakini waliweza je wangekuwepo professionals?
Pale hakuna ambaye alipaswa kufa, ilikuwa rahisi kuwakoa kwa kuwa ndege ilikuwa haijazama yote, kama waliweza kuwatoa watu 26, kungekuwa na effective rescue.....Watu wengi wangeokolewa, ILIKUWA SUALA LA KUWAHI KUINGIA KWENYE NDEGE NA KUWATOA WATU KUWAPELEKA KWENYE BOATS, au kuwaweka kwenye bawa za ndege wakisubiri uokozi.
Watu wamekaa muda mrefu ndani ya ndege, hivi utategemea wapone kweli? Haya mambo ya kufanya kisiasa inaendelea kumaliza nchi yetu.
UOKOAJI WA TANZANIA NI WA OVYO KUPINDUKIA, UTAOKOAJE KWA KUTUMIA KAMBA? ETI UNAVUTA NDEGE KWA KAMBA....HII AIBU MTAIPELEKA WAPI?

Waziri mkuu ameshindwa kabisa kupambana na majanga rahisi tu, anatakiwa ajiuzulu.
Hata Wewe unatakiwa kujiuzuru kwa hiki ulichoandika
 
Ni upumbavu wa hali ya juu, kila siku unaliona handaki lipo wazi, hufanyi chochote, siku mtu akitumbukia, amekufa, unaebda haraka eti kutoa pole. Una akili wewe?

Ni upuuzi mkubwa kwa CCM kukimbilia kutoa pole badala ya kuwawajibisha viongozi wa Serikali yake walioshindwa kuifanya Serikali kutimiza jukumu lake la msingi la kulinda usalama wa raia.

Big shane to you CCM. Hopeless political party. Chama kinachoendeshwa kwa unafiki wa kusifiana hata mahali panapohitaji kuwajibishana.
 
Back
Top Bottom