Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

Mleta mada nilifikiri tayari unaijua hiyo kazi..kumbe na wewe unatuuliza?
 
RC Mara akapambane na akina "Mura"
 
Kwani Magufuli anawatoto wakubwa, anaoweza kuwaogesha na kuwavalisha viatu Makonda? Naona Magufuli alilidhishwa na huduma ya MAKONDA aliyokuwa anaitoa kwa Riz 1.
 
Makonda bado sana kupewa nafasi zaidi ya ukuu wa wilaya kubwa gani kafanya kwa kinondoni adi kupewa nafisi kama ilizotaja kuigilia mgogoro wa madereva? kuwawe ndani maafsa aridhi wa k/nondon? Kumshtaki s.kubenea mahakani? Kwa hayo tu apewe ubalozi? diplomasia ni somo pana Wapo vijana waliwai kupewa ukuu wa wilaya wafanya mambo ya eshima wanakumbukwa na jamii ya eneo usika kama unataka Nenda wilaya ya IGUNGA utakuta eshima ya mkuu wa wilaya aliemaliza mda wake ELIBARIKI KINGU pamoja na figisu za siasa historia kamwe atamsaau Kingu hao ndio ma DC tunaotaka sio Makonda anaefanya kazi za kipambe na yeye katengeneza wapambe wake wampambe kwa rais.
 
Lete kwanza CV yake hapa tuione,maana mgosi wa kaya huwa anangalia CV zaidi.Hata hivyo Mwenyekiti wa bodi ni out kwa kuwa that is sort of a ceremonial post.
 
Hata km ni kupiga debe la sio kwa staili hiyo, Ccm bwana! Mkuu wa wilaya anapiga kazi gani by professional? Labda kwakuwa alimfungulia kesi Kubenea na kuamrisha askari wamkamate, bac anafaa kuwa Mwenezi
 
number 1 inahusika zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…