Tetesi: Hii ndio kazi inayofuata atakayopewa Makonda na Rais Magufuli

Makonda kesi ya kina Guninita imemkalia pabaya. Ana mdharau hata Wakili wake. Watamshona tu
 
Huyu jamaa ni zaid ya mtendaji kazi anazid wakuu wa mikoa wengi tu kwa uchapa kazi wake wa kujituma magufuli akimtea kuwa mkuu wa mkoa amlete huku kwetu Mara tutajiona wenye bahati kweli waliopo kwa sasa ni wachumia tumbo tu hawana lolote
 
Ndege wa rangi moja
 
Shallow thinking! ndiyo maana umeanza na sentensi yako na "at finally"!!!!! Kwa neno hilo nimeshakusoma we ni mtu wa aina gani. Nakuachia size yako, have a nice weekend
 
Makonda is likely to be appointed RC, DC, or Deputy Minister!
 
NNasubiria kashfa ya Mabango maana hajaiweka kwenye FB page yake
 
Mimi naomba apelekwe mkoa wa dodoma ili uchukuliwe na wapinzani maana kapewa kinondoni ilikuwa haijawahi kuongozwa na upinzani lkn chini ya uongozi wake kinondoni sasa ipo chini ya upinzani full

Nafikiri CCM Wampime kwa hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…