Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

Kwa Fid hapana. Kuna interview moja Youtube alikuwa busy na smartphone yake tu. Na nikiona msanii anachagua interview, nyingine anakuwa serious na nyingine anapotezea. Msanii kama huyo namtia kwenye trash bin.
Dogo Janja namkubali sana kwenye interview. Huwa anajiachia miamia. Ni kama yuko kijiweni na chawa anapiga story tu. Anafunguka na hana tension kabisa. Aliulizwa ni nini anakimis baada ya kuoa. Dogo akasema anamisi sana kupiga chabo. Hahahahahaaaa!!!
 
kamsikilize Ali kiba vzur halafu uje uedit Uzi wako
 
Mhhhh hivi kuna msanii ambaye hawezi kujieleza kwenye Interview? Ebu tupe mfano mmoja wapo maana mie nawaona wasanii wote vichwa vimewaka maneno kama yote wakipewa mic.

kinachoniboa wasanii karibu wote wakihojiwa kila mmoja nasema yeye ndiye mkali hakuna zaidi yake.....hata kama ni chipukizi kabisa hajulikani....kaazi kwelikweli
 
Jipe muda kasikilize interview yoyote ya WAKAZI halafu urudi tena hapa
 
Daah upo vizuri sana mkuu, WAKAZI ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…