Hii ndio list ya wasanii wa bongo flavour wanaojua kujieleza kwenye interview zao

He is simply temper
 
Mm nadhani Mwana F.A ni one of the best maana anajua kupanga hoja afu jamaa anamadini mengi sana kichwani mwake.
 
Ommydimpoz anajua kujielezea mno na anaongea vitu vyenye point sana, nilimsahau huyu jamaa namuweka namba moja
Anamajibu yake fulani hivi ya kiutu uzima... Inanikumbusha Kipindi kile cha Ugomvi wake na Dai. Alimpa Dai majibu mazuri kabisa.
 
Ommydimpoz na dogo janja? Ommy ni zaidi ya dogo janja,dogo anapwaya kwenye interview
Mkuu naomba umsikilize Dogo kwa mara nyingine tena. Kwa umri wake na namna anavyojieleza kwenye Interview anastahili pongezi. Kwangu anabaki kuwa Moja ya Msanii anayejua kujieleza vizuri kabisa kwenye Interview.
 
Sugu
Hahahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…