GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Your browser is not able to display this video.

Hii inaitwa Pastoralism, mfugaji anahama na mifugo yake, CCM wanaswaga mpaka wanafunzi.
 
Aliandaliwa na Mungu au Rstm na genge lake, kama ana kibali kwa nini vurugu zinakuwq nyingi namna hii. Hujielewi.
 
Nadhani Mkapa alivyosema watanzania ni wapumbavu aliwalenga Moja kwa Moja mashabiki wa ccm.....
 

Attachments

  • 1756492688850.jpg
    269.7 KB · Views: 27
And that God must be crazy!!
 
Kwakweli huyu Mama anayeitwa Samia Suluhu Hassan, chadema masalia (chakavu) al-maarufu nyumbu, kwa hakika watasimulia maisha yao yote. Si kwa kuwapelekesha Huku. Mama anaupiga mwingi mpaka unapwakuka namna hii😳😳😳

Jambo la kupendeza zaidi ni kuwa
 
Your browser is not able to display this video.
 
Wajinga ndiyo waliwao. Wewe ni jinga na huna Cha maana na huna faida kwa Taifa. Kufa *****. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Aliandaliwa na Mungu au Rstm na genge lake, kama ana kibali kwa nini vurugu zinakuwq nyingi namna hii. Hujielewi.
Shida yako umejimilikisha Mungu na maandiko yake!!! Kwamaana Mungu utamtumia kwa maslahi yako yanapokuwa vile unataka. !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…