Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Amepewa bodaboda imeandikwa SSHkama wanakulipa,na mimi niunganishie mchongo hali yangu mbaya
Amepewa bodaboda imeandikwa SSHkama wanakulipa,na mimi niunganishie mchongo hali yangu mbaya
Halafu wewe kichaa uwe unaniazima ile bodaboda yako imeandikwa SSHAcha Moshi dogo
Swali murua sana hili...Mkuu upo sawa
Naskia ulichangia gunia la viazi kwenye harambee ya kutunisha mfuko wa kampeni...Naona umechanganyikiwa baada ya kuona mafuriko ya watu kila aendako na kupita Mheshimiwa Rais.
Acha dharau zako hapa wewe 😄😀Naskia ulichangia gunia la viazi kwenye harambee ya kutunisha mfuko wa kampeni...
Wageni wale zege!