GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wajinga ndiyo waliwao. Wewe ni jinga na huna Cha maana na huna faida kwa Taifa. Kufa *****. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Umesaau kuwa mamlaka zote zimetoka kwake Mungu mkuu. CCM CHADEMA nk. vyote vimesajiliwa kwa lengo la kufanya Siasa punguza chuki CCM ni Amani yetu sote.
 

Wamejazana wanaCCM, wanafunzi na wanajeshi.

Sisi tunasubiri mgao wa matrector kwa kila familia.
 
View attachment 3460629
Hii inaitwa Pastoralism, mfugaji anahama na mifugo yake, CCM wanaswaga mpaka wanafunzi.
Ujaelewa tu mkuu CCM tupo zaidi ya milioni 11+ na kila wanaCCM wanaitaji kufika kwenye Mikutano yao kuwaona kuwasikia viongozi waoTaifa!!!!

ivyo ndio Ufanyika kuwawezesha kufika kwenye Mikutano na sio walewale kila mkutano hapana sio kweli ❌️

Uchaguzi ni wetu Wanaccm na wote tunaitaji nafasi sawa kufika walipo viongozi wengu Wagombea!!!

ikumbukwe viongozi wetu hawawezi kufika kila kona walipo Wanaccm !!

ndiomana mwaka huu wamewekewa Utaratibu wa kufatwa kwenye kata zao kupelekwa kwenye Mikutano!!

kama Maisha ubadilika kila siku kwanini CCM ibaki vilevile miaka yote!!!!!
 
Ungejua unayoyatetea yanavyoliumiza taifa hebu fanya uje vijijini kdg uonee hali ilivyo tete na mazao yanauzwa bei ya chini Hadi roho inauma
Watu wamewashwa na upupu wakati wa kulima sokon bei ya chini

Ila mungu yupo
 
Wamejazana wanaCCM, wanafunzi na wanajeshi.

Sisi tunasubiri mgao wa matrector kwa kila familia.
Na wao pia ni watanzania. Ndio Maana tunasema ya kuwa Rais Samia ni kipenzi cha watanzania anayependwa na watanzania wote na wa makundi yote
 
Ungejua unayoyatetea yanavyoliumiza taifa hebu fanya uje vijijini kdg uonee hali ilivyo tete na mazao yanauzwa bei ya chini Hadi roho inauma
Watu wamewashwa na upupu wakati wa kulima sokon bei ya chini

Ila mungu yupo
Mimi nipo vijijini na ninajionea namna Rais wetu Mpendwa anavyopendwa ,kuaminika na kuungwa mkono. Hii ni kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya kuinua maisha ya wakulima.kwa kuwapatia mbolea za ruzuku na kuwawezesha wakulima kwa kuwapatia mikopo ya masharti nafuu kabisa
 
So mnasomba watu Arusha kwenda mkutano Kawe, af tena mnasomba Dar kwenye Mkutano Arusha? Kweli mmefilisika sera. By the way, hivi na wanajeshi nao ni wana CCM?
 
Huwezi kuelewa kitu kwa kuwa roho yako imetawaliwa na shetani. Kwa hiyo umepofuka macho na akili.
Hata pamoja na kulipwa au kutafuta na kutengeneza njia ya kuitwa na kupata chochote umeandika kama paganism!.

Kwanza unapaswa kuelewa hata shetani ana mamlaka yake hapa duniani, pili shetani anaweza kusimika uongozi autakao - kupitia shetani ndipo mtu kama wewe unaweza kutamka neno lolote sababu utakuwa umejizima data au data zako zimetuzwa na mwingine.

Soma Ufunuo 12:12b -13, ujue kuwa unapishia wewe kuna mwingine anaendelea ulipoishia.
 
Yaani wewe akili zako zinejizima kiasi kwamba huoni watu wakisombwa hadi na matreni kutoka mikoa mbali mbali?
 
Aliyepewa kibali na Mungu yupi? Hao watu wamesombwa toka mikoani mmetumia mabasi 635 ya CCM, bado aliyoyatoa Mwigulu Nchemba kusombea watu. Hamkubaliki wewe chawa. Mungu hawezi kutoa kibali cha kutawala kwa muuaji kama Samia na Abdul.Mmelazimisha wafanyakazi wa serikali wawafuate huko kwenye mikutano halafu mnapiga piga kelele ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…