Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Habari ndio kama mlivyosikia .

Screenshot_2023-12-20-22-41-50-1.png
 
Wewe endelea na mambo yako ya kumsifia Mbowe, hayo ndiyo unayoyaweza zaidi.

Kabla ya kuandika huu utopolo wako ungefanya research kidogo tu kujua huyo ndio bingwa mtetezi ingekusaidia.
Kuna bingwa mtetezi kibonde?
 
Acha pumba wewe; hao wamecheza mechi 11 tu na wana point 16. Kwa michezo yao minne iliyobaki kufikisha michezo 15 ya timu nyingine wakipata point 12 watafikisha point 28 na kuwa juu ya chati.
Mna mshambulia bure tu jamaa, lengo lake ni kuonesha Medeama ni level ya akina Tabora United na si timu unayopaswa kujisifu ukiifunga.

Acheze mechi 11 au 15, tunaangalia uwezo wake kwa michezo hiyo hiyo 11 aliyocheza.

Kafungwa mechi 5, kshinda mechi 5, kasuluhu mechi 1.

Unaujua mpira, hiyo inamaanisha nini kisoka?
 
Mpaka sasa ndiye Bingwa wa Ghana. Amefungwa ngapi kwa sasa inategemea sana na wengine wamefungwaje pia
 
Kuna bingwa mtetezi kibonde?
Nimeacha kuangalia mpira 2014, ngoja niulize, Leicester alikuwa bingwa, msimu uliofuata alifanya vizuri?

Medeama kacheza mechi 11, kagongwa 5, katoboa 5, kasuluhu 1.

Uwezo wake kwenye hizo mechi 11 unauonaje? Unafanana na mabingwa watetezi?
 
Back
Top Bottom