Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

Kama atacheza game zake zote akishinda atakuwa na points 28 atakuwa anaongoza Ligi, ukibonde upo wapi?

Wabongo tunapenda Sana kujitafutia faraja za muda mfupi.
 
Mna mshambulia bure tu jamaa, lengo lake ni kuonesha Medeama ni level ya akina Tabora United na si timu unayopaswa kujisifu ukiifunga.

Acheze mechi 11 au 15, tunaangalia uwezo wake kwa michezo hiyo hiyo 11 aliyocheza.

Kafungwa mechi 5, kshinda mechi 5, kasuluhu mechi 1.

Unaujua mpira, hiyo inamaanisha nini kisoka?
Sawa ni kibonde alimfungaje CRB huyo mnae msifia?
 
Nimeacha kuangalia mpira 2014, ngoja niulize, Leicester alikuwa bingwa, msimu uliofuata alifanya vizuri?

Medeama kacheza mechi 11, kagongwa 5, katoboa 5, kasuluhu 1.

Uwezo wake kwenye hizo mechi 11 unauonaje? Unafanana na mabingwa watetezi?
Kwa hio ulitaka Yanga amsadie asiwe kibonde au point yako ni nini?
 
Acha pumba wewe; hao wamecheza mechi 11 tu na wana point 16. Kwa michezo yao minne iliyobaki kufikisha michezo 15 ya timu nyingine wakipata point 12 watafikisha point 28 na kuwa juu ya chati.
Viporo vinachacha jamani
 
Mna mshambulia bure tu jamaa, lengo lake ni kuonesha Medeama ni level ya akina Tabora United na si timu unayopaswa kujisifu ukiifunga.

Acheze mechi 11 au 15, tunaangalia uwezo wake kwa michezo hiyo hiyo 11 aliyocheza.

Kafungwa mechi 5, kshinda mechi 5, kasuluhu mechi 1.

Unaujua mpira, hiyo inamaanisha nini kisoka?
Hicho ndicho nilichomaanisha , lakini nimeambulia matusi !
 
Wewe endelea na mambo yako ya kumsifia Mbowe, hayo ndiyo unayoyaweza zaidi.

Kabla ya kuandika huu utopolo wako ungefanya research kidogo tu kujua huyo ndio bingwa mtetezi ingekusaidia.
Kuna bingwa mtetezi kibonde?
Huyo ndio yule hawara wa Mbowe Joyce Mukya huyo. Achana naye, anachojua ni kumkatikia viuno mbowe tu.
 
Kwani yanga sc ni bingwa wa nini?
Wewe endelea na mambo yako ya kumsifia Mbowe, hayo ndiyo unayoyaweza zaidi.

Kabla ya kuandika huu utopolo wako ungefanya research kidogo tu kujua huyo ndio bingwa mtetezi ingekusaidia.
Kuna bingwa mtetezi kibonde?
 
Kama atacheza game zake zote akishinda atakuwa na points 28 atakuwa anaongoza Ligi, ukibonde upo wapi?

Wabongo tunapenda Sana kujitafutia faraja za muda mfupi.
Watu tunaishi sana kwa maneno na sio fact .

Kwenye mpira hakuna kibonde ndiyo maana zinaingia timu mbili kupambana.

Kuna haja gani ya kucheza kama unajua unaenda kupigwa.?

Tukumbuke kwamba Mpira ni mchezo wa makosa , ukikosea unadhibiwa.
 
Back
Top Bottom