Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

Bora umemfungua macho huyu chura.
Jamaa ana mechi 4 hajacheza na akishinda zote ataongoza
Acha pumba wewe; hao wamecheza mechi 11 tu na wana point 16. Kwa michezo yao minne iliyobaki kufikisha michezo 15 ya timu nyingine wakipata point 12 watafikisha point 28 na kuwa juu ya chati.
Hawezi shinda zote kwa mwenendo wake wa mechi 11 pointi 16 hapo akijitahidi atashinda mbili ....na kuwa na pointi 22 nafasi ya 8
 
Viporo vinachacha jamani
Labda useme hivyo kwamba kuwapo kwa viporo vingi ni hatari kwa afya ya timu huko mbeleni lakini msimamo huo wa sasa hausemi lolote kuhusu ubora wake kwenye ligi.
 
Amecheza game 11 na point 16 wenzake wamecheza 15 wana point 27 it means km atashinda mech 4 alizobakiza, atafikia points 28 ambapo atawazidi wenzake
 
Back
Top Bottom