Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Akishinda viporo vyote vinne anaongoza league.Sasa wr Bung'o huoni wamecheza mara 11 wakati wenzao mara 15?
Acha uchawi
Inawezekana una hoja ila tulia uandike vizuriMalizia kacheza michozo mingspi?
Sawa ni kibonde alimfungaje CRB huyo mnae msifia?Mna mshambulia bure tu jamaa, lengo lake ni kuonesha Medeama ni level ya akina Tabora United na si timu unayopaswa kujisifu ukiifunga.
Acheze mechi 11 au 15, tunaangalia uwezo wake kwa michezo hiyo hiyo 11 aliyocheza.
Kafungwa mechi 5, kshinda mechi 5, kasuluhu mechi 1.
Unaujua mpira, hiyo inamaanisha nini kisoka?
Kwa hio ulitaka Yanga amsadie asiwe kibonde au point yako ni nini?Nimeacha kuangalia mpira 2014, ngoja niulize, Leicester alikuwa bingwa, msimu uliofuata alifanya vizuri?
Medeama kacheza mechi 11, kagongwa 5, katoboa 5, kasuluhu 1.
Uwezo wake kwenye hizo mechi 11 unauonaje? Unafanana na mabingwa watetezi?
Bila shaka na wewe ni kijana wa Rage!
Viporo vinachacha jamaniAcha pumba wewe; hao wamecheza mechi 11 tu na wana point 16. Kwa michezo yao minne iliyobaki kufikisha michezo 15 ya timu nyingine wakipata point 12 watafikisha point 28 na kuwa juu ya chati.
Hicho ndicho nilichomaanisha , lakini nimeambulia matusi !Mna mshambulia bure tu jamaa, lengo lake ni kuonesha Medeama ni level ya akina Tabora United na si timu unayopaswa kujisifu ukiifunga.
Acheze mechi 11 au 15, tunaangalia uwezo wake kwa michezo hiyo hiyo 11 aliyocheza.
Kafungwa mechi 5, kshinda mechi 5, kasuluhu mechi 1.
Unaujua mpira, hiyo inamaanisha nini kisoka?
Ni kweli chache lakini kashinda 5 kapoteza 5 na ku draw 1. Hii siyo dalili nzuri.Sasa wr Bung'o huoni wamecheza mara 11 wakati wenzao mara 15?
Acha uchawi
Simba ni kweli vibonde kwa Yanga msimu huu mbona liko wazikama medeama aliefungwa 3 na Yanga ni kibonde
tunaomba na maelezo kuhusu yule aliefungwa 5 na Yanga pia kwa mkapa ?
kama ni kibonde hizo points 4 kazipataje?Ni kweli chache lakini kashinda 5 kapoteza 5 na ku draw 1. Hii siyo dalili nzuri.
Huyo ndio yule hawara wa Mbowe Joyce Mukya huyo. Achana naye, anachojua ni kumkatikia viuno mbowe tu.Wewe endelea na mambo yako ya kumsifia Mbowe, hayo ndiyo unayoyaweza zaidi.
Kabla ya kuandika huu utopolo wako ungefanya research kidogo tu kujua huyo ndio bingwa mtetezi ingekusaidia.
Kuna bingwa mtetezi kibonde?
Naomba nioneshe niliposema ni Madeama ni kibonde tafadhalikama ni kibonde hizo points 4 kazipataje?
Wewe endelea na mambo yako ya kumsifia Mbowe, hayo ndiyo unayoyaweza zaidi.
Kabla ya kuandika huu utopolo wako ungefanya research kidogo tu kujua huyo ndio bingwa mtetezi ingekusaidia.
Kuna bingwa mtetezi kibonde?
Si mlikuwa mnasema hii ndio klabu bingwa hakuna timu dhaifu?
Watu tunaishi sana kwa maneno na sio fact .Kama atacheza game zake zote akishinda atakuwa na points 28 atakuwa anaongoza Ligi, ukibonde upo wapi?
Wabongo tunapenda Sana kujitafutia faraja za muda mfupi.