Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

Sasa hiyo katiba ni ya kazi gani kama mambo ni hivyo?
 
Ni kweli mkuu umegusa makundi yoteyote. Hapo kwenye kila kundi la wapigania katiba pia kuna uhaba wa wanawake, sijui kwanini wanawake wanakua nyuma kwenye mambo mtambuka kama haya. Ni mara chache mno mijadala ya katiba/siasa si mtaani si mitandaoni wanaume hutalawa mijadala hii.

Aisee wajitafakari tunawahitaji sana katika harakati za kukomboka jamani.

Lakini yote kwa yote Elimu Elimu Elimu.
 
kama upo jirani na wanapochoma nyama agiza mishkaki kumi na safari ntalipa mimi..io si ndio namba yako?
 
ukija kwenye suala la haki sawa ndio vimbelembele sana ila issue za msingi wapo nyuma kama vitobo vya mkasi
 
Bwana Rohe: majibu yako haya hapa.

1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani

WAENDE BUNGENI, WAJENGE H OJA, NAONA WAKO 2 WA KUCHAGULIWA NA 19 WA KUTEULUWA JATIKA BUNGE LAXWATU 400+ TUWAOMBEE, HII HIUITWA UPHILL TASK, LABDA WATAFANIKIWA. INGEKUWA NI CHAMA KIMOJA INGEKUWA RAHUSI ZAIDI BASHIRU NA POLEPOLE WANGESIMAMIA, LAKINI VYAMA VINGI LAZIMA IWE KURA YA WAZI. KUBADILISHA KATIBA NI LAZIMA IANZIE AU IISHIE BUNGENI, HAWO NDIYO WAWAKILUSHI WAXWABANCHI WSLIOPIGIWA KURA. KENYA RAILA OGINGA NA UHURU WAMEUNGAMISHA MAKABILA YAO BBI IMEKATALIWA - UKIWEKA KALENJIN NA WAXIGUA WA PWANI NA WAPARE WAUTWA WAKAMBA NGOMA INAKUWA DRONI 49:51

2. Wanasiasa upande wa Zanzibar.


ZANZIBAR NI SERIKALI YA MAPINDUZI, WAARABU WALING'OLEWA KWA NGUVU HAWAKUOMBWA KATIBA MPYA. NAO WAJARIBU.

3. Wanaharakati wa mrengo wa kiliberali.

WHAT THE HELL IS THAT? UNA MAANA MASHOGA? WAENDE EU

4. Wasomi wenye elimu kuanzia stashahada mpaka uzamivu. Wenye exposure ya dunia na wenye kutaka mabadiliko kwenye nchi.

WEWE ULIZAMIA WAPI? KANA KWELI UNAXEXPOSURE YA DUNIA NI LAZIMA USHAFIKA USA NA UK NA RUSSIA NA CROATIA NA INDIA. NI LINI USA WAMESEMA WANATAKA KATIBA MPYA? PERMANENT INTERESTS, NO FRIENDS.
 
Yote haya CCM yakiasisiwa na Nyerere.
That muzee is scumbag.
Nashangaa tunavyompa sifa wakati katurudisha nyuma na kutudumuza akili zetu.
 
Kiufupi ji nchi yenye watu Ml 60+ kuongozwa na katiba mbovu ya mwaka 1977 ni upumbavu mkubwa.🙂
 
Ukimuonyesha mtanzania uhusiano wa wazi na moja kwa moja jinsi gani katiba imefanya tuwe na hali mbaya ya kiuchumi au jinsi gani katiba itaboresha need ya chini kabisa ya kila mwananchi kama ilivyo kwenye Maslow's hierarchy basi hata hilo kundi ambalo halina muda na katiba litaanza kufikiri zaid,
,, msiwahukumu kuwa hawataki katiba wakat mnajua dhahiri kuwa hayo yooote ya kutaka au kutokutaka katiba ni for your own interests za kisiasa

CCM wanatumia advantage ya kutuweka kwenye hali duni for more than 60 years kutufanya tusifikirie vitu vikubwa,,,,siwezi kutaka burger wakati mlo wa siku ni shida kuupata( simple personality calculation) siwezi kuwaza self esteem au self actualization level wakati physical and security needs sijazipata bado

CHADEMA wana hoja nzuri za kutaka mabadiliko ya kiutawala ( na sio kikatiba kama wanavyo claim wao) najua kama CHADEMA wangekuwa wenye nchi sasa hv hoja ya katiba isingekuwa kipaumbele kwao,, ( wenye fikra finyu watakataa)

Makundi hayo hayawezi kuwasikiliza kwa sababu hamjagusa sehemu ambayo wao wanaona ina umuhimu pesa, mlo, mavazi na uhakika wa kuingiza kipato kila siku,,,, sio CCM au CDM hakuna mwenye maelezo ya moja kwa moja ubadilishwaji wa katiba utaleta uhakika wa kupata angalau pesa ya matumizi ( nazungumzia kazi)

Mnasahau kuwa kundi la hao ambao hawataki katiba ndio kubwa zaidi tanzania wajuzeni hao ambao mnaona ni washenzi,,, kuhusu umuhimu wa katiba ambao unagusa maisha yao ya kila siku moja kwa moja (ukiwatoa CCM ) hapo mtafanikiwa
Twitter na mitandao ya jamii isiwadanganye kuwa each citizens of this doomed county anataka katiba


#politiciansarefiltyliers
 
GREAT POST, UBARIKIWE SANA.
 
Kenya wana katiba tunayoambiwa ni bora sana lakini ufisadi na umasikini kwa raia umekita mizizi!

Ndio kusema kwamba katiba ya Kenya ni nzuri kwa wanasiasa tu!

Katiba nzuri na huku una njaa ni sawa na unyani[emoji205][emoji205][emoji205]
Nenda south Africa kamuulize Zuma nini kinamkuta? Pimbi wewe
Hiyo ndiyo wewe
 
Robert Hariel:

They preach what they don't practice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…