Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Usishindane na aliyebarikiwa, usishindane na aliyepewa kibali na Mungu, usishindane na aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu. Lazima mfahamu na ifahamike ya kuwa Aliyepewa kapewa tu. Aliyebarikiwa kabarikiwa tu. Huwezi kumpokonya mtu kibali alichopewa na Mungu.
Rais Samia ni Mpango wa Mungu ,ni kusudi la Mungu kuwepo hapo alipo. Kushindana naye na kumpiga vita kwa chuki zako binafsi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu na kujichelewesha mambo yako na kujisumbua tu. Rais Wetu Mpendwa ni chaguo la Mungu Mwenyewe na ndio sababu ya kukubalika na kupendwa kwake machoni na Mioyoni mwa watanzania.
Hashushwi kamwe na chuki binafsi ama ubaguzi . Ataendelea kusalia juu na kuongoza Taifa letu mpaka 2030 kwa amani na utulivu mkubwa sana.
Picha ya Leo imeendelea kuonyesha ushawishi wa Rais Samia kwa watu,kukubalika kwake,kufuatiliwa na watu mbalimbali Duniani kwote,kupendwa kwake. Imeonyesha na kudhihirisha ya kuwa Rais Samia Ni kipenzi cha watanzania wote. Ndio Maana akionekana tu popote pale unaona namna ambavyo akiteka mijadala yote mitandaoni.
Picha ya Leo katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwake na kutimiza kwake miaka 66 Imeendelea kuwa sehemu ya mijadala katika mitandao ya kijamii. Huku wananchi mbalimbali wakitoa pongezi zao kwa Rais wetu na kumtakia Maisha marefu yenye heri na amani.
Siasa ni watu na ili uwe na watu wa kukuunga mkono ni lazima watu wawe na imani na wewe na ili wawe na imani na wewe ni lazima uguse Maisha yao. Rais Samia kagusa Maisha ya mamilioni kwa mamilioni ya wananchi na ndio Maana anaendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa wananchi. Anaendelea kuaminika na kuaminiwa na watanzania, anaendelea kuwa tumaini la watanzania wote.
Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata Jemedari,tumepata nahodha hodari ,tumepata kiongozi wa kutupa matumaini na njia ya kusonga mbele. Hatuna budi kuendelea kumuunga mkono Rais wetu na kumpatia ushirikiano wa kutosha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.