Hii Ndio Picha Bora ya siku kutoka kwa Rais Samia iliyoteka mitandao ya kijamii na Hisia Za Watu Duniani Kwote

Hii Ndio Picha Bora ya siku kutoka kwa Rais Samia iliyoteka mitandao ya kijamii na Hisia Za Watu Duniani Kwote

Mpumbavu kabisa wewe kutafuta uteuzi kwa njia za kijinga kama hii unayotumia ndiyo kumekuharibia na kila mtu amekusoma kuwa wewe IQ yako ni ndogo sana huwezi hata kupima athari za maandishi yako, wewe ni mtu ambaye unachangia sana Samia kutukanwa humu jukwaani kataa kubali huu ndiyo ukweli, huna akili na kamwe huwezi kuteuliwa kwa staili hii umejiharibia mwenyewe bwege wewe.
Kwanza tu kuandika maandishi yako kwa kuyakolezi utafikiri unaandikia wenye matatizo ya macho inaendelea kuonyesha namna usivyo na akili kichwani mwako. Ila mwaka huu ni lazima UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Huyo kabla hajafa inabidi kumkodia watu wamle tigo kwanza
 
Humjengi unazidi kumharibia na kumuongezea chuki na Watanganyika.. Replies chache hapo juu zinaweza kuthibitisha

Huyo Lukas right angelijuwa huko nje wanavyomchukulia kwa sasa ..... asingekuwa analetea post za design hii.
 
Kwanza tu kuandika maandishi yako kwa kuyakolezi utafikiri unaandikia wenye matatizo ya macho inaendelea kuonyesha namna usivyo na akili kichwani mwako. Ila mwaka huu ni lazima UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Hoja kuwa wewe unasababisha Samia kutukanwa humu bado hujaijibu unakimbilia kunitishia kuuwawa, inaonyesha kuwa huna akili za kujibu hoja na hii ni staili ya maccm wote mkizidiwa hoja mnakimbilia kuteka na kuua watu. Sasa kufa utatangulia wewe kabla yangu bwege mtozeni wewe.
 
Huyo Lukas right angelijuwa huko nje wanavyomchukulia kwa sasa ..... asingekuwa analetea post za design hii.
Mwenyewe anajiona anatoa madini kumbe anamharibia kabisa huyo mtu wake. Na laiti angejua kuwa Samia anawadharau Watanganyika hasa wagalatia wenye magovi kama huyu kapuku Lucas asingejisumbua kumsifia.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Usishindane na aliyebarikiwa, usishindane na aliyepewa kibali na Mungu, usishindane na aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu. Lazima mfahamu na ifahamike ya kuwa Aliyepewa kapewa tu. Aliyebarikiwa kabarikiwa tu. Huwezi kumpokonya mtu kibali alichopewa na Mungu.

Rais Samia ni Mpango wa Mungu ,ni kusudi la Mungu kuwepo hapo alipo. Kushindana naye na kumpiga vita kwa chuki zako binafsi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu na kujichelewesha mambo yako na kujisumbua tu. Rais Wetu Mpendwa ni chaguo la Mungu Mwenyewe na ndio sababu ya kukubalika na kupendwa kwake machoni na Mioyoni mwa watanzania.

Hashushwi kamwe na chuki binafsi ama ubaguzi . Ataendelea kusalia juu na kuongoza Taifa letu mpaka 2030 kwa amani na utulivu mkubwa sana.

Picha ya Leo imeendelea kuonyesha ushawishi wa Rais Samia kwa watu,kukubalika kwake,kufuatiliwa na watu mbalimbali Duniani kwote,kupendwa kwake. Imeonyesha na kudhihirisha ya kuwa Rais Samia Ni kipenzi cha watanzania wote. Ndio Maana akionekana tu popote pale unaona namna ambavyo akiteka mijadala yote mitandaoni.

Picha ya Leo katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwake na kutimiza kwake miaka 66 Imeendelea kuwa sehemu ya mijadala katika mitandao ya kijamii. Huku wananchi mbalimbali wakitoa pongezi zao kwa Rais wetu na kumtakia Maisha marefu yenye heri na amani.

Siasa ni watu na ili uwe na watu wa kukuunga mkono ni lazima watu wawe na imani na wewe na ili wawe na imani na wewe ni lazima uguse Maisha yao. Rais Samia kagusa Maisha ya mamilioni kwa mamilioni ya wananchi na ndio Maana anaendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa wananchi. Anaendelea kuaminika na kuaminiwa na watanzania, anaendelea kuwa tumaini la watanzania wote.

Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata Jemedari,tumepata nahodha hodari ,tumepata kiongozi wa kutupa matumaini na njia ya kusonga mbele. Hatuna budi kuendelea kumuunga mkono Rais wetu na kumpaka ushirikiano wa kutosha.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3535256
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Mwenyewe anajiona anatoa madini kumbe anamharibia kabisa huyo mtu wake. Na laiti angejua kuwa Samia anawadharau Watanganyika hasa wagalatia wenye magovi kama huyu kapuku Lucas asingejisumbua kumsifia.
Hunaga akili kabisa
 
Jiandaeni kufika ICC we na kibihi chako.
 
Unajisikiaje yake Maramli yako ya kichawi na maombi yako mabaya kushindwa? Wewe si ndio ulikuwa unaleta ngonjera zako za uongo huku na kuwaaminisha watu uongo? Sasa nini umepata?

Huna hata haya ewe mjaa laana na uliyejaa roho ya kishetani na Kichawi. Koma kabisa kumchafua Rais wetu
Eeh mbona omo sado nzima uko sawa kweli? 😀 halafu Luca wanaume hawaandiki mipasho ujue..!😎 ukiona mwanaume anaandika mipasho basi kuna kila dalili spring zishalegezwa zikalegea
 
Back
Top Bottom