Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Naona umebakia kujishebedua na kujishaua tu baada ya malamli yako ya kiganga kugonga Mwamba. Aibu tu ndio imekubakia. Sasa yako wapi uliyokuwa unapiga Ramli? Wewe endelea na Mitunguli yako tu.Eeh mbona omo sado nzima uko sawa kweli? 😀 halafu Luca wanaume hawaandiki mipasho ujue..!😎 ukiona mwanaume anaandika mipasho basi kuna kila dalili spring zishalegezwa zikalegea