Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Asante kwa taarifa.
Ila ninatamani sana kama chadema kingekuwa na kitengo imara cha habari kutuhabarisha na kutupa nondo za hiyo mikutano.
Molemo where r u?
Ngogwe wameiona?View attachment 2626701
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Amalizie tu Katiba mpya basiMama anaukonga moyo. Kwetu sisi wapenda amani haki na umoja hapa ametupata
Atakuwa ametuweza
Unataka kumteka na wewe?Mbowe aweke wazi matumizi ya hiyo operation uchwara!! Mbona kipindi cha Jiwe aliufyata??
Ngogwe wameiona?
Unamaanisha nini?πππ
Jasiri haachi asili!
Jiwe alikuwa mtekaji na muuaji wa wanasiasa wa upinzaniMbowe aweke wazi matumizi ya hiyo operation uchwara!! Mbona kipindi cha Jiwe aliufyata??
Jiwe alikuwa ametuharibia saana nchi yetu. Wanasiasa wa upinzani na vyombo vya Usalama walikuwa kama chui na paka.View attachment 2626701
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
π€£π€£π€£Chadema tembeni kifua mbele rafiki zangu
ππ Watu wako kazini!Unamaanisha nini?
Muhimu ni mahusiano mazuri ya polisi na raia hicho ndio kilio cha muda mrefu zaidi ya enzi zile.Enzi zile huyu Polisi angeweza kutimuliwa kazi au kupotezwa
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Umeusema ukweli. Mahusiano mazuri ndio nguzo ya ustawi wa Taifa.ππMuhimu ni mahusiano mazuri ya polisi na raia hicho ndio kilio cha muda mrefu zaidi ya enzi zile.
Polisi kawa rafiki na raia mwema au kawa rafiki na wanasiasa tu? Ningefurahi kuona mahusiano mazuri ya polisi na raia.Angalau kazi yao sasa inaonekana. Polisi ni rafiki wa Raia mwema na adui kwa mhalifu.
Sasa hayo sio mahusiano mema? Au hao waliojaa hapo kwenye mikutano sio rai ni Nzi??Polisi kawa rafiki na raia mwema au kawa rafiki na wanasiasa tu? Ningefurahi kuona mahusiano mazuri ya polisi na raia.
Yeah kama raia wema tupiganie hilo.Umeusema ukweli. Mahusiano mazuri ndio nguzo ya ustawi wa Taifa.ππ
shoga lenu limekufanya nn wewe mbwehaMagu alikuwa ni hayawami