Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Ni Mkakati wa kuwaambukiza wananchi mzuka wa kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi ujao , ni Oparesheni itakayofanyika nchi nzima , kwa muda wote bila kukoma hadi katiba mpya imepatikana .Nini maana ya operation 255. Na itakuwepo kwa muda gani?
Safi. Elimisheni Wananchi Umuhimu wa Katiba mpya. Waelewe. Na pia muoneshe athari za katiba ya zamani kwa ujumla.Ni Mkakati wa kuwaambukiza wananchi mzuka wa kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kabla ya uchaguzi ujao , ni Oparesheni itakayofanyika nchi nzima , kwa muda wote bila kukoma hadi katiba mpya imepatikana .
Imeanza juzi Kigoma
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
AmenSafi. Elimisheni Wananchi Umuhimu wa Katiba mpya. Waelewe. Na pia muoneshe athari za katiba ya zamani kwa ujumla.
Rais ajaye huyo wameshaanza kujipendekeza.View attachment 2626701
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
wana Usalama nao wameanza Kutabasamu
Tanzania ni yetu soteSafi sana, tuishi kwa upendo, Duniani tunapita.
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Hivi nani anasimamia Red Brigade hapo ufipani? Maana nakumbuka Hiki kikundi kilikuwa kimewekwa kwenye katiba yenu!View attachment 2626701
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kuna mahali nilisikia Jana, inasemwa, Sheria siyo lazima zifuatwe kama zilivyo kwa sababu hazitatui mogogoro mazungumzo ndiyo yanafaa zaidi! Nilichoka.Nchi yetu inaongozwa kwa sheria...Hatuwezi kuchagua kiongozi asiyeheshimu sheria akawa anaongoza nchi kwa kushauriwa na mkewe, maana hamjui kesho akiamka atamshauri nini??
Wameendas kozi lini hao polisi iliyowabadilisha?View attachment 2626701
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno !
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu .
Ama kwa hakika Tanzania mpya inanukia .
Mungu Ibariki Tanzania .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kitengo Cha propaganda muhimu Sana chadema inamisiTutajitahidi kukuwekeeni video , si rahisi kuandika humu kila neno la kiongozi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hapana Mbowe hawezi kuja kuwa Rais wa Tanzania. Chadema naamini wanalielewa hili vizuri. IT WONT HAPPEN.Rais ajaye huyo wameshaanza kujipendekeza.
ndio maana tumeingia kazini rasmiKitengo Cha propaganda muhimu Sana chadema inamisi
Mungu ibariki CHADEMAView attachment 2626701