NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu
pakiti ya sigara = sigara 20
bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200
box moja kuna bunda 50 = sigara 10,000
mfano bei ya wastani ya sigara moja ni shilingi 200, hivyo thamani ya box moja ni shilingi milioni 2
pick up ndogo tu ikibeba box 50 ni sawa na malori matatu makubwa yanayobeba kreti za bia
scania inaweza kubeba box hadi elf 1, mzigo hapo unasoma bilioni 2.