Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

Ila bia inaingiza mapato makubwa serikalini kuliko sigara. Per company.

Bia 10 ni 15,000tsh.

Ni ngumu kuvuta sigara za tsh15000
Kwa siku moja.
On average mvuta sigara wa kawaida anavuta sio chini ya sigara 6 kwa siku. Ambazo kwa hesabu ya embassy ni 1500. So unahitaji wavutaji kumi per hizo bia 10. Wavutaji n wengi kuliko wanywaji. Na ujue kbsa mlevi sio kila siku atakunywa lakn kwenye fegi mvutaji yuko radhi atembee kwa mguu lakn asikose hela ya chiga.
 
Mnywaji sio lazima anywe kila siku ila siku akinywa anasawazisha magoli tote halafu anafunga ya ushindi kibao
 
Ila bia inaingiza mapato makubwa serikalini kuliko sigara. Per company.

Bia 10 ni 15,000tsh.

Ni ngumu kuvuta sigara za tsh15000
Kwa siku moja.
Umeangalia production cost yake na hat gharama za Usafiri?
 
Mnywaji sio lazima anywe kila siku ila siku akinywa anasawazisha magoli tote halafu anafunga ya ushindi kibao
My nigga, im talking from experience, gharama anazotumia mvutaji kwa mwaka, znamzidi mlevi mbali sanaaaa..
Ntakupa mfano rahisi, mvutaji aliekubuhu anaeza kumaliza pakti moja ndani ya siku 2. Thats an avrg of 3 pkts per week, na hapo hakuna event yoyote kama kulewa au kuchanja miraa.
Hili halina season wala nin, n tareh 1 mpka 31. But mlevi atalewa sana kipindi mshahara umetoka lakn huku katikati unywaji unapungua na unategemea na company n.k.
Wavutaji woote hawana huu kitu, n mwendo mdundo daily
Screenshot_20220130-100821_Instagram.jpg
 
View attachment 2408394
Mvutaji aliyekubuhu na mlevi aliyekubuhu. Maana mvutaji unachukua aliyekubuhu ila mnywaji wa kawaida ila malengo yako ya data yatimie.

Pact tatu kwa wiki ni jumla 7500.

Kwa mwezi ni 30000 jumla.

Sasa mnywaji anayetumia bia za tsh30000 ni bia ishirini tu hizo,siku moja au mbili za Mshahara.
 
Mtu alete taarifa za ulipaji kodi za bia na sigara kwa kampuni
 
Na wafanyakazi wa tcc wana maisha mazuri kuliko wafanyakazi wa Ikulu, ukiondoa wapiga dili. Maana mpaka Ikulu wapiga dili wamejaa
Nani kakudanganya mkuu kua wana maisha mazuri???
Wanaishi maisha ya kawaida sana
Says Ex employeee
 
Mara nyingi zinasafirishwa kwa ndege toka production area na kusambazwa kwenye miji midogo. Ili kupunguza risk ya upotevu au ajali
Hakuna Sigara inayozalishwa hapa Tanzania na kusafirishwa kwa kutumia ndege.
Hata mzigo unaenda Juba Sudan[emoji928][emoji929][emoji777]
 
Nani kakudanganya mkuu kua wana maisha mazuri???
Wanaishi maisha ya kawaida sana
Says Ex employeee
Kwa wastani wengi wana maisha mazuri, ukumbukue kuna watumishi wa Ikulu wanazidiwa mishahara na wale wa serikali za mitaa, ila kwa ujumla Ikulu ni pazuri.
 
Bangi inajulikana kabisaa ni tiba lakini serikali kupitia vyombo vyake wanaisagia kunguni mwanzo mwisho.
Kila mtu atailima so serikali watakulaje. Ishu iko ivi Kama kitu wakubwa hawana namna ya kulapo na wao. Wanajipigia Vita. Pia wavutaji wengi watahamia huko biashara ya fegi itadorora so uchumi kuyumba. Umeshawahi ona mitishamba fulani fulani ama chakula fulanifulani like garlic ginger etc zikipigiwa promo kuwa tuzitumie intensively Mana zinatibu magonjwa fulani. Basi ukiona ivyo hawana ulaji kwao sio kuwa wanakulinda afya yako. Penye kuuza utalaamu ,kozi, vitabu na dawa lazima zitapigiwa kelele. I really trust hapa duniani one animal eats another animals directly or indirectly, wengine kwa kuonyesha upendo kumbe ndipo unapigwa .
 
Niliwah kushangaa kuona vijana wengi wanakimbilia gari la matangazo lilikuwa linatangaza sigara mpya,kuna sigara walikuwa wanatoa za bure
 
Back
Top Bottom