Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

Mzee wangu alikuwa dereva kampuni ya sigara tawi la Tabora alikuwa anaendesha gari aina ya Canter tani 3 na robo na walikuwa wanasafiri watatu.....yeye dereva, keshia na mlinzi mwenye bunduki, kabla haujaanzishwa huu mfumo wa kutokutembea na hela cash......
Anatusimulia kuwa kuna siku walikuwa na zaidi ya Tsh 600 baada ya mauzo wanatoka Urambo kurudi Tabora mjini mlinzi akawageuka anawaambia wachague moja.....wagawane zile hela halafu watoroke au awatie shaba azichukue peke yake.

Majibizano yalikuwa marefu na vitisho vingi kutoka kwa yule mlinzi (mi pia namfahamu vizuri alikuwa anakula sana ganja) mkwara wa kwanza chuma kikalia jiwe la moto likapasua anga kwa sauti zito la kibabe.

Sitanii hapa, risasi ya pili inaondoka na mtu....likawa onyo lake

Kadri walivyokuwa wanaendelea kumsihi pale ndio wadudu kichwani kwake waliendelea kumtia wazimu, sekunde chache basdae dude likaunguruma tena risasi ikafumua tairi la mbele, kumbe wakati anafanya yote hayo huku akijiaminisha kuwa wako porini mbali na msaada ile milio miwili ya risasi ikawashitua wanakijiji cha jirani na eneo lile wakaji-organize na kuanza kusogea kikomando.

Huku porini mlinzi akaachia chuma kingine cha tatu ukawa ni mwisho wakamvaa kwa pamoja kipigo kikaanza na muda huo wanakijiji wakafika, wakamkamata pelekwa polisi na mambo memgineyo yakafuatia.....jamaa alihukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani.

Baada ya miaka miwili yule keshia akajiongeza akaiba Tsh milioni 120......Muhaya yule hakuwa mjanja kama wenzake akaanza matanuzi pale pale mjini, miezi miwili baadae wakamdaka akafungwa miaka mitano.

Mzee wangu alistaafu mwaka 2003, sio kweli kwamba wana maisha mazuri kiviiiiiiiiile.......ni baadhi yao tu, mzee wangu alifanikiwa kununua kiwanja Mwanza kabla ya kustaafu na kujenga nyumba kubwa ya upangishaji na pia kwa kuwa tupo barabara kuu ya kwenda Shinyanga mbele amejenga frame 12 za maduka na nyuma mtaa wa pili kuna frame 6 za maduka.

Mwisho
 
Angalia edit yangu

TBL ililipa 400+bil mwaka jana
GGM ililipa 300+ bil mwaka jana
NMB ililipa 250+bil mwaka jana
 
Angalia edit yangu

TBL ililipa 400+bil mwaka jana
GGM ililipa 300+ bil mwaka jana
NMB ililipa 250+bil mwaka jana
Sawa,unayo link? Kwa hiyo top 3 sigara hawapo?
 
Mzee wangu alikuwa dereva kampuni ya sigara tawi la Tabora alikuwa anaendesha gari aina ya Canter tani 3 na robo na walikuwa wanasafiri watatu.....yeye dereva, keshia na mlinzi mwenye bunduki, kabla haujaanzishwa huu mfumo wa kutokutembea na hela cash......
Anatusimulia kuwa kuna siku walikuwa na zaidi ya Tsh 600 baada ya mauzo wanatoka Urambo kurudi Tabora mjini mlinzi akawageuka anawaambia wachague moja.....wagawane zile hela halafu watoroke au awatie shaba azichukue peke yake.

Majibizano yalikuwa marefu na vitisho vingi kutoka kwa yule mlinzi (mi pia namfahamu vizuri alikuwa anakula sana ganja) mkwara wa kwanza chuma kikalia jiwe la moto likapasua anga kwa sauti zito la kibabe.

Sitanii hapa, risasi ya pili inaondoka na mtu....likawa onyo lake

Kadri walivyokuwa wanaendelea kumsihi pale ndio wadudu kichwani kwake waliendelea kumtia wazimu, sekunde chache basdae dude likaunguruma tena risasi ikafumua tairi la mbele, kumbe wakati anafanya yote hayo huku akijiaminisha kuwa wako porini mbali na msaada ile milio miwili ya risasi ikawashitua wanakijiji cha jirani na eneo lile wakaji-organize na kuanza kusogea kikomando.

Huku porini mlinzi akaachia chuma kingine cha tatu ukawa ni mwisho wakamvaa kwa pamoja kipigo kikaanza na muda huo wanakijiji wakafika, wakamkamata pelekwa polisi na mambo memgineyo yakafuatia.....jamaa alihukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani.

Baada ya miaka miwili yule keshia akajiongeza akaiba Tsh milioni 120......Muhaya yule hakuwa mjanja kama wenzake akaanza matanuzi pale pale mjini, miezi miwili baadae wakamdaka akafungwa miaka mitano.

Mzee wangu alistaafu mwaka 2003, sio kweli kwamba wana maisha mazuri kiviiiiiiiiile.......ni baadhi yao tu, mzee wangu alifanikiwa kununua kiwanja Mwanza kabla ya kustaafu na kujenga nyumba kubwa ya upangishaji na pia kwa kuwa tupo barabara kuu ya kwenda Shinyanga mbele amejenga frame 12 za maduka na nyuma mtaa wa pili kuna frame 6 za maduka.

Mwisho
Ahahaha pole yake aisee
 
Kile kipick up kipo vzr sna kinabeba mabilioni niliambiwa Hilo siyo siku nyingi Ni jusi jusi tu nikiwa maeneo ya keko machungwa
 
On average mvuta sigara wa kawaida anavuta sio chini ya sigara 6 kwa siku. Ambazo kwa hesabu ya embassy ni 1500. So unahitaji wavutaji kumi per hizo bia 10. Wavutaji n wengi kuliko wanywaji. Na ujue kbsa mlevi sio kila siku atakunywa lakn kwenye fegi mvutaji yuko radhi atembee kwa mguu lakn asikose hela ya chiga.
Wengi wanavuta packet kwa siku
 
Back
Top Bottom