Nahis Aina ya watumiaji was hicho kilevi ndo sababu kuuSigara ina upakiaji tofauti
1. Katoni1=bunda25=pakiti250=sigara 5000
2. Katoni1=bunda50=pakiti500=sigara 10,000
kama sigara moja ni tsh 100@10,000= 1million
embassy 1 ni tsh 250@10,000=2.5million.
Vuta picha gari imebeba katoni 1000 za embassy@2.5million=2.5billion
Sikuwahi kujua hzi hesabuSigara ina upakiaji tofauti
1. Katoni 1 = Bunda 25 = Pakiti 250 = Sigara 5,000.
2. Katoni 1 = Bunda 50 = Pakiti 500 = Sigara 10,000.
Kama sigara moja ni Tsh 100, @10,000 = 1 million.
Embassy 1 ni Tsh 250, @10,000 = 2.5 million.
Vuta picha gari imebeba katoni 1000 za Embassy.
Milioni 2.5 X 1,000 = Bilioni 2.5.
Umeongea ukweli mtupu mkuu, na Sigara zinauzika sio kawaidamfano bei ya wastani ya sigara moja ni shilingi 200, hivyo thamani ya box moja ni shilingi milioni 2
pick up ndogo tu ikibeba box 50 ni sawa na malori matatu makubwa yanayobeba kreti za bia
scania inaweza kubeba box hadi elf 1, mzigo hapo unasoma bilioni 2
Lakini hawapokei casna
Namjua dereva mmoja anapokea cash anaeka kwa wakala na ni mzoefuLakini hawapokei cash
Sentence ya mwisho imejitosheleza, nilimaanisha hawatembei na cashNamjua dereva mmoja anapokea cash anaeka kwa wakala na ni mzoefu
Pombe watu hawaibi na gari likipata ajali walevi wanaweka kituo hapohapo na kufungua pub bila wahudumu bali ni self serviceGari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu
pakiti ya sigara = sigara 20
bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200
box moja kuna bunda 50 = sigara 10,000
mfano bei ya wastani ya sigara moja ni shilingi 200, hivyo thamani ya box moja ni shilingi milioni 2
pick up ndogo tu ikibeba box 50 ni sawa na malori matatu makubwa yanayobeba kreti za bia
scania inaweza kubeba box hadi elf 1, mzigo hapo unasoma bilioni 2
Haijawahi kutokea gari la sigara kupinduka kisha watu wakagawana puff?Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu
pakiti ya sigara = sigara 20
bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200
box moja kuna bunda 50 = sigara 10,000
mfano bei ya wastani ya sigara moja ni shilingi 200, hivyo thamani ya box moja ni shilingi milioni 2
pick up ndogo tu ikibeba box 50 ni sawa na malori matatu makubwa yanayobeba kreti za bia
scania inaweza kubeba box hadi elf 1, mzigo hapo unasoma bilioni 2
Kama wa wanatangazia mazombi vile na baada ya muda unayakuta yanatolea puaniSM (SWEET MENTHOL)
NI POA
NI FRESH
NI YAKO
ONYO:UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO
Haijawahi kutokea gari la sigara kupinduka kisha watu wakagawana puff?
Hapo Kodi ya serikali ni shilingi ngapi maana umetoa mapato ghafi tu ambayo mwenye kampuni anaingiza.....Ila bia inaingiza mapato makubwa serikalini kuliko sigara. Per company.
Bia 10 ni 15,000tsh.
Ni ngumu kuvuta sigara za tsh15000
Kwa siku moja.
Kumbe sigara ni asset namna hiiMara nyingi zinasafirishwa kwa ndege toka production area na kusambazwa kwenye miji midogo. Ili kupunguza risk ya upotevu au ajali