Nimependa story, so nice!
Hahahaaa...... Hapo lazima Mamndenyi nae ajibu kibabe kuwa '' nilikuwa nakutania honey hata mi nilikuona hapo siti ya nyuma nikavunga tu.'' ili aibu iishe lol!
Hapo lazima alipaniki, labda ushu.zi ulitoka.
peleka jukwaa la jokes.
Bujibuji:Hello baby uko wp nmekumiss,
Mamndenyi; hny nko SAMAKI SAMAKI hapa napata LUNCH then namsubiria DRIVER wng aje kunchukua anpeleke Shopping Quality Centre , we upo wp swt?
Bujibuji:npo siti ya nyuma ndani ya hii DALADALA ya MBAGALA uliyopanda nlitaka kukwambia NIMESHALIPA nauli!
CC:- watu8, mwaJ, ladyfurahia, MadameX Kipaji Halisi, Mtambuzi
Lady doctor mamaa la ukweeee
Vipi ujauzito umekaa sawa sasa
au bado vihoma homa vya asubuhi.
Mimba za uzeeni hivyo na shosti wangu Kongosho na mke mwenzio Madame B
zitawakomesha.
Bujibuji:Hello baby uko wp nmekumiss,
Mamndenyi; hny nko SAMAKI SAMAKI hapa napata LUNCH then namsubiria DRIVER wng aje kunchukua anpeleke Shopping Quality Centre , we upo wp swt?
Bujibuji:npo siti ya nyuma ndani ya hii DALADALA ya MBAGALA uliyopanda nlitaka kukwambia NIMESHALIPA nauli!
CC:- watu8, mwaJ, ladyfurahia, MadameX Kipaji Halisi, Mtambuzi
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
umenichekeshaje shostito kumbe hana gari mkeo Mamndenyi?
yote hiyo ni mikwara yake
hahahaah, tena external auditor. lol, huyu nae amezidi kutuletea vichekesho mmu! hapa tunataka malavidavi tuuu mom.Taratibu baby,
Hivi na wewe umekuwa auditor, hongera zako lakini.
mwanangu Cantalisia, niko proud na visa vya mama yako@mamndenyi ndio maana nimeileta kwako
Cantalisia umeona makitu ya baba yako wa kambo;
Ujue ndo maana nikamwacha shauri hizo hizo.
mwanangu Cantalisia, niko proud na visa vya mama yako@mamndenyi ndio maana nimeileta kwako