Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Wilaya ya kigoma na bukoba zimepakana?Bukoba to Kigoma ni mbali sana japo wilaya zao zimepakana lkn hadi ufike Bukoba mjini ni mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wilaya ya kigoma na bukoba zimepakana?Bukoba to Kigoma ni mbali sana japo wilaya zao zimepakana lkn hadi ufike Bukoba mjini ni mbali sana
Yani aogelee maji yenye vumbiKesho weekiend njoo uogelee tu nitakulipia
Hakuna vumbi we saa sita asubuhiYani aogelee maji yenye vumbi
Kwanini mkuu? Nambie wilaya yote nimefika na sifa zao nazijuaMtoa mada meengi ya uliyoyaandika hayana ukweli na ni uzandiki tuu
Roho mbaya na majunguWatu wakigoma wanapenda sana sifa
😆😆😆😆mabag yetu wengine tukawa tumebeba kichwani imagine hupo ndani ya gari Lakini bag lako umebeba kichwani..
Aroooo we mkora unataka kufanya nini kwenye hizo kuta za Jf unataka kuzimwagia nini hapo unapiga NYETO?Ngoja nipige chaputa naja
Kigoma imegoma sijui Kigoma All Stars aliiachia wapiUnavyomfahamu Zito Kabwe na Kigoma iko hivyo hivyo.
Ila kasulu pamechangamka Kibiashara tofauti na kigoma mjini kwa mtazamo wangu lakiniKigoma town hujazunguka vizuri mkuu,kuna maeneo yamepangika na kumetulia Kasulu pako kawaida.
Hizo huduma za kumwaga oil hapo Kasulu ni bar inaitwa Kasudeco, hata Manyovu hukuongea vizuri na wadau.
Sahihi, hapo ujiji wazee wetu walipotea sana na kuacha familia zao, walipoenda kulinda mipaka yetu.Safari yangu ilianzia Mwanza to kigoma, then kigoma to dar...
Saa 12 asubuhi nilifika stand ya nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda kigoma yapo magari maarufu kama Saratoga, adventure, yehova yille kati ya hayo hakuna gari lolote lile lenye unafuu magari ni 3 by 2, yaani upande mmoja watu watatu upande Mwingine wanakaa wawili, gari chache sana ni 2 by 2 na tajiri ndio anapanga lini likae barabarani...
Kwenye Ili gari picha inaanza hakuna customer care yoyote Ile nilikata ticket ya mbele Kufika asubuhi nikaambiwa nikakae nyuma huko vurugu ikaanzia hapa ikabidi huyo mtu wampeleke huko nyuma.
Watu wachache walikosa seat wakasimama kuanzia Stand ya nyegezi nakumbuka stand yoote tulipopita kuanzia sengerema, geita, katoro nk watu walikua wanaingia na kusimama.
Humo ndani ya gari yalikua yanauzwa mahindi, mihogo, karanga vitumbua , mayai yaani tulikua tunapakia Muda wote non stop, story zinapigwa sana mtu wa seat ya mbele anapiga story na rafiki yake aliye seat ya nyuma, kweli waha ni kiboko.
Kufika nyakanazi kundi kubwa la watu liingia yaani waliosimama ni wengi saana kuliko tuliokaa, nafasi hata ya kugeuka pembeni hupati mabag yetu wengine tukawa tumebeba kichwani imagine hupo ndani ya gari Lakini bag lako umebeba kichwani..
Barabara ya lami inaishia kakonko kwa mbele tukaanza kula vumbi mpaka kibondo, wazee nimefika kibondo pale mwili wote unauma Mwili mzima shingo haifanyi kazi tena, nikawauliza wenyeji wakanambia safari ya Mwanza to kibondo ni karibu kuliko kibondo tu kigoma mjini, yaani kibondo ni wilaya ambayo ni kubwa kuitembea ni mwendo wa masaa 4/5 Kufika kasulu....
Raha ya kusema unasafiri usiitegemee kama unakuja kigoma panda gari Ili ufike na sio u-enjoy nature, safari iliendelea tukafika mjini kigoma saa 3 usiku.
NB: KIGOMA ni mji ambao una manispaa moja na town council inayoitwa Kasulu...kigoma wanaishi watu kama watu wa mikoa mingine, Lakini kigoma watu wa huku kigoma Wana amini mno mambo ya kishirikina sio mdogo au mkubwa...
Kigoma ujiji inapatikana kigoma mjini. Huko ndio kwao Hashim rungwe, baruhani muhuza, juma kaseja huko ndio mji ulipoanzia, ni ngome ya kiislamu Watu wa huko ni masikini mno pia Kuna waganga wengi sana na mambo ya kichawi ni mengi mno, kukuta vyungu vimepasuliwa njia panda ni jambo la kawaida HAKUNA MTUMISHI YOYOTE WA SERIKALI ANAEKAA KIGOMA UJIJI, huko Hadi watoto wanajua uchawi ni nini kwenda kwa mganga ni jambo la kawaida.....huku kigoma ujiji harusi ni Kila siku huwezi pitisha siku hakuna harusi maisha magumu nyumba za udongo Lakini ni waswahili balaa, huko ujiji maduka yanayokodisha mziki yanafika 40.
PALE KIGOMA MJINI.....ni center ndogo ya Kibiashara Lakini hakuna mzunguko wowote wa Hela Hapo wenyeji ni wengi na wengi wanauza kwa madawa usitegemee wa kuja ukafungua duka huku utapigwa zengwe mpaka uone moto.
Huu ni mji wa kinafiki, watu wanaishi kinafiki kinafiki saana, mvua zikinyesha unaomba Mungu radi zinapiga vibaya mno tena Kwa sauti kubwa sana.
Bukoba atakuwa amemaanisha Kagera Mkuu, Kigoma imepakana na Kagera yaani Ngara na BiharamuloWilaya ya kigoma na bukoba zimepakana?
Wewe kwenu ni buhigwe au uvinza? Waha wote ni majungu, chuki na roho mbayaMleta Uzi ni mwanaume lakini ana ubongo wa kike