Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

Kigoma town hujazunguka vizuri mkuu,kuna maeneo yamepangika na kumetulia Kasulu pako kawaida.

Hizo huduma za kumwaga oil hapo Kasulu ni bar inaitwa Kasudeco, hata Manyovu hukuongea vizuri na wadau.
Ila kasulu pamechangamka Kibiashara tofauti na kigoma mjini kwa mtazamo wangu lakini
 
Sahihi, hapo ujiji wazee wetu walipotea sana na kuacha familia zao, walipoenda kulinda mipaka yetu.
Wanawake wa ujiji kazi yao ni kufuma mashuka, kuchora hina na umalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…