matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Huyo Mungu mwenyewe hakuna aliyethibitisha yupo.Kumuamini Mungu ndio risk (kujihatarisha) kikubwa kuliko vyote KWA mwanadamu wa kawaida.
Unamuamini Mungu kupitia maneno ya BIBLIA (wakristo). Na hautakiwi KUWA na ushahidi mwingine wowote wa hicho unachokiamini isipokuwa maneno hayo peke yake.
Mfano.
Ukisema huogopi, ushahidi wako uwe ni mstari ( Hatukupewa ROHO ya hofu). Huu ndio unatakiwa uusimamie kama ushahidi hata kama mtu anapasua kichwa chako na panga.
Hii ni hata kwenye magonjwa. Ushahidi wa kupona kwako sio unafuu, au kuona maumivu yanapoa. Hata kama unaona unakata ROHO na hakuna uwezekano kabisa wa kupona. Amini utapona na ushahidi wa kupona kwako ni ( KWA kupigwa kwake (Yesu) sisi tumepona).
Kama maisha yako unasubiri mifumo yako ya fahamu ( kunusa, kuhisi, kugusa, kuona, kuonya) kama ushahidi wa imani yako, huna imani maana ushahidi wa imani KWA Mungu ni sentensi za Mungu na Sio Hali unayopitia.
Kama hauamini hivi Bado humuamini Mungu unaamini kuhusu Mungu na Sio Mungu.
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Asante KWA maoni mazuriHuyo Mungu mwenyewe hakuna aliyethibitisha yupo.
Imani ni KUWA na uhakika tena bila kusita kabisa. Ushahidi wa uhakika wako ni kauli za unayemuamini na Sio uhalisia unayopitia KWA wakati huoUkiamini au kuwa na imani na jambo fulani maana yake ni kutokua na ufahamu nalo. Ndio maana dini zote mtaji wake ni waumini wake.
Hayo si maoni. Fact, no cap.Asante KWA maoni mazuri
Tujifunze kupitia wadudu na viumbe wengine. Je, nyuki anahitaji imani kutengeneza asali? Buibui anahitaji imani kutengeneza utando?Imani ni KUWA na uhakika tena bila kusita kabisa. Ushahidi wa uhakika wako ni kauli za unayemuamini na Sio uhalisia unayopitia KWA wakati huo
YESU KWANZA YESU MILELE
KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI NA KUABUDU
YESU NI MUNGU MPENDE MSIPENDE
JESUS FIRST JESUS FOREVER
IN JESUS WE MUST TRUST BELIEVE AND WORSHIP
JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT
Nyau de adriz[/US
[/QUOTE]
Kuna tofauti kubwa kati ya kuamini na kufahamu. Dini inakufanya uamini katika imani ambayo huijui kiundani na huna uhakika nayo . Kwa hiyo ukisha weka imani tayari huna uhakika wa jambo lako.Imani ni KUWA na uhakika tena bila kusita kabisa. Ushahidi wa uhakika wako ni kauli za unayemuamini na Sio uhalisia unayopitia KWA wakati huo