Kilimo peke yake kinaipatia California dola bilioni 50, pesa nyingi kuliko GDP ya nchi yako.Tatizo jamaa uchumi wao kwa sehemu kubwa umejengwa katika misingi ya wizi!! Jamaa wanatuibia sana madini na rasilimali zetu Africa! Kupitia US dollar wanatufanyia figisu kibao! Hakuna kitu hapo kama tukisimamia haki!
Kilimo cha mazao gani ndugu yangu? Unaongelea mahidi?Kilimo peke yake kinaipatia California dola bilioni 50, pesa nyingi kuliko GDP ya nchi yako.
Kilimo cha mazao gani ndugu yangu?Kilimo peke yake kinaipatia California dola bilioni 50, pesa nyingi kuliko GDP ya nchi yako.
Pitia mambo ndugu yangu kisha uje. Watu wanaokula ngano wanaakili sana. Watu wanaokula mahidi asilimia kubwa ni mbumbumbu. Mahindi yapo kwaajili ya kulishia mifugo maana mifugo haifikirii sana.Kilimo peke yake kinaipatia California dola bilioni 50, pesa nyingi kuliko GDP ya nchi yako.
Tuambie sasaKilimo peke yake kinaipatia California dola bilioni 50, pesa nyingi kuliko GDP ya nchi yako.
Hivi dunia haiwezi kuishi bila hizo products ?Products izi zinatoka California wewe WhatsApp, Instagram, Twitter, Facebook, Wikipedia, Coca-Cola, Pepsi cola, Android, IOS, iPhone, Window, Google company. Vyote vinapatikana apo California. Kwa iyo akiingia ktk Vita izo products na services upati ndio utaijua California ni Jimbo au zaidi ya hao wakina Russian na hao wengine unao sifia sifia
Alafu unaichukulia poa California
Kuna utalii wamajengo unashiriki katika kuchangia uchumi wa eneo husika hujawahi kusikia kuhusu habari za Dubai ?Jengo refu ndio uchumi [emoji23] aisee
Mkuu umempa darsa la kutosha huyo mkalifonia naamini akirudi atakuja na maswali mapya si hilo tena.Hii tabia ya kuchukilia kila kitu hasi kisa hukubaliani nacho ni moja wapo ya ufala mkubwa.
Hivi hiyo Urusi unayo idharau si ndo imeutikisa uchumi wa ulimwengu mzima ukiwemo wa huyo Marekani ambaye ndo mmiliki wa hiyo California baada ya kuingia vitani?
Huo uchumi wa kalifonia unao usema ni uchumi wa kinadharia zaidi kuliko uhalisia.
California inaonekana ina uchumi mkubwa kwa sababu ya hisa za makampuni makubwa ya kiteknolojia nchini Marekani yaliyo jikita ndani ya jimbo hilo na uchumi wa hisa siku zote huwa ni uchumi wa makaratasi na sio uchumi wenye uhalisia.
Na ndio maana Aronmusk anaweza kuwa tajiri namba moja duniani lakini anaweza kuporomoka kwenye nafasi hiyo ndani ya dakika 30 tu na kuwa wa kumi hayo yote ni sababu utajiri wake unategemea nguvu ya hisa za makampuni yake.
Mfano hisa za makampuni ya Microsoft,au meta zikiporomoka mwanachi wa kawaida kama ww na mm huwezi kuathirika kwa chochote kile kwenye maisha yako ya kila siku wala huwezi ona babadiliko yeyote kwenye maisha yako ya kila siku , lakini mafuta, ngano na mbolea ya Urusi ikikosekana sokoni mpaka bibi yako alioko ikwiriri huko ambaye hajui hata kama kuna nchi inaitwa Urusi ana ugulia maumivu.
Na hilo limedhihirika sasa baada ya vita ya Ukraine Marekani amepigana vita nyingi lakini dunia haijawahi kuwa na mabadiliko yeyote, lakini kitendo cha Urusi kuingia vitani uchumi wa dunia nzima ulitikisika na paka sasa haujakaa sawa.
Kati ya hivyo ulivyo vitaja vikikosekana kwenye maisha ya mwana nchi wa kawaida anapungukiwa na nn au ana athirika kwa kitu gani?Products izi zinatoka California wewe WhatsApp, Instagram, Twitter, Facebook, Wikipedia, Coca-Cola, Pepsi cola, Android, IOS, iPhone, Window, Google company. Vyote vinapatikana apo California. Kwa iyo akiingia ktk Vita izo products na services upati ndio utaijua California ni Jimbo au zaidi ya hao wakina Russian na hao wengine unao sifia sifia
Alafu unaichukulia poa California
umenenaHii tabia ya kuchukilia kila kitu hasi kisa hukubaliani nacho ni moja wapo ya ufala mkubwa.