Hii ndio utakuwa muonekano wa iPhone 16 Pro, Kampuni ya Apple imeishiwa ubunifu

Wanawake tunaumwa ndo maana wakemea mapepo wanatufaidi, mbaba wangu ye simu ni miaka 5-7
 
Watu wa android tusijipe moyo.

Iphone ni simu nzuri + classic Japo samsung ni simu bora ya mda wote.

Japo mm siwezi kutumia iphone, kwa sababu 2

1. Ukianza kutumia iphone, huwezi tumia brand nyingine utaanza kujiona kama umeshuka brand 😀

2. Brand inakulazimisha kuendelea ku upgrade once kuna matoleo mapya sokoni. Mfano leo hii ukiwa na iphone 11 unaonekana ni low budget 😀

Hizo ndo sababu zinafanya niendelee kubaki huku kwenye Pixel, na Samsung.
 
iPhone 6?
 
Wanawake tunaumwa ndo maana wakemea mapepo wanatufaidi, mbaba wangu ye simu ni miaka 5-7
Nadhani ndiyo asili yenu kutokutosheka....

Hata Bibi yenu nyumbani ana mabegi yamejaa nguo lakini haachi kwenda kufanya shopping za nguo mpya Kila Mwezi

Mimi kwenye simu huwa sijali brand, naweza kutumia Samsung ama Infinix muhimu iwe inapiga na kupokea 🙌
 
Nyie mnapuyanga kwenye k-vant tu ila kwingineko wala hamna mambo mengi km sie🤣
 
Walitaka waweke camera zina macho mabaya kama simu za android za siku hizi. Camera kama plate za jiko 🤣🤣
Hivi watu mkiitwa kondoo bado mnakataa wakati mna akili za kikondoo.

Hakuna simu zinaitwa Android, android ni operating system inayoendesha simu. Mbona laptop zote haziitwi Microsoft kwa sababu zinaendeshwa na Microsoft OS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…