Hii ndiyo Dubai bwana

Hii ndiyo Dubai bwana

Mimi sideal na machoko acha kujilengesha,

kijichekesha chekesha hovyo hakuwezi kubali upuuzi wako.
Sheikh yakhe yakhe hasira za nini JF ?????Huwezi pokea hoja kinzani au unaogopa mawazo mbadala kama msomi?????Unadhani ukitukana nitapungukiwa na kitu chochote!!!!Be serious sheikh
 
Architectures na Civil Engineers wamefanya kazi Kubwa Sana huko kuupamba huo Mji 👏👏💪

Tuliosoma na kufanya kazi za Kihandisi Nchini (Civil and Structural Engineering) tuna kutana na changamoto chache mno za kutafutia majawabu ya Kihandisi maana tunatumia 1/3 tu ya Tulichosoma 🙆

Wakati mwingine kufanya kazi Nje ya Nchi Kuna Tija Sana upande wa Exposure
 
Los angeles na new york hazipo kwa the most modern cities in the world kwenye top 10. Jiji lililopo ni san francisco na ndilo linaongoza kwa marekani kwa kuwa modern. Majiji mengi yaliyomo ni nchi za Asia maana yamejengwa miaka ya hivi karibuni hivyo yana ylubunifu wa kisasa na technology za kisasa zaidi
Ukisema modern city una maana gani?
. Behind those few tall structures , Dubai has nothing special ni kama Cairo tu.
Kamwe usiiweke dubai na New York sentensi moja
 
tuko pamoja mkuu,ila kama ntakua sijakosea kuna reply moja ulisema atuwezi kulinganisha uchumi wa mafuta na mkonge,,baada ya mimi kuuliza miaka ya 60's tulikua uchumi sawa na Dubai?,
ila wewe ukaleta jibu moja la msingi ambalo nimeelielewa,kwamba sisi atuna matumizi mazuri ya akili.hapo tuko sawa kabisa wala atujatofautiana mkuu.
Naam,

Kuna mambo mawili hapa ambayo yote yako sawa na kwa juujuu ukiyaangalia, hususan kwa sababu mazungumzo yetu mwengi yanakuwa ubishi wa identity politics badala ya kuangalia facts, inawezekana mtu akaona kama kuna kujichanganya, lakini haya mambo mawili hayana kujichanganya, na hayana contradiction.

1. Ni kweli kwamba si sawa, si haki na hakuna mantiki ya kulinganisha uchumi wa katani na uchumi wa mafuta.
Kanuni moja ya muhimu ya kulinganisha vitu ni kulinganisha vitu vilivyo katika kushabihiana kiasi fulani. Waingereza wanasema "Do not compare apples to oranges". Ndiyo maana hata kwenye mashindano ya michezo kuna ligi tofauti, kwenye ndondi watu wa uzito tofauti hawapambanishwi, etc.

2.Lakini pia, hata baada ya kujua kwamba hatutakiwi kujilinganisha na uchumi wa mafuta, ni muhimu pia tujitathmini, hata kwa rasilimali zetu, yani bila hata kujilinganisha na mtu mwingine, je uchumi wetu unatakiwa kuwa hapa ulipo? Jibu ni hapana. Ndiyo maana nikasema tuna matatizo ya akili, kwa sababu tungekuwa na akili leo hii uchumi huu huu wa katani tungeweza kujiongeza tukatengenez ainternet parks vijana wakapata kazi online.

Huku nchi zilizoendelea kuna kazi hizi low paying jobs mtu hakosi $1000 kwa mwezi, inachohitajika ni internet, nidhamu ya kazi, kuwa smart katika kujifunza mabo mapya na kujua Kiingereza tu, mengine watakufundisha wenyewe. Sasa Tanzania umeme wa manati, internet ya kibatari, hata ku recommend watu inakuwa tabu. Kwa sababu watu hawajui hayo matatizo.

Tungeweza kutatua matatizo hayo tu kuna vijana wengi wangepata ajira mitandaoni.

Lakini pia serikali yenyewe imejikita kukata kodi kabla watu hawajafanikisha biashara zao, na inaweka vikwazo vingi. Mfanyabiashara wa Tanzania hata kama analipwa hela kutoka nje kupata online platform ya kumlipa ni tabu, kwa sababu ya sheria zetu.

Hao waarabu washajua kwamba uchumi wa mafuta unaisha, wanajiandaa kuingia katika "knowledge economy".

Nimeona washaanza kutengeneza parks za wanyama wa Africa. Sisi tunashangaa waarabu wanakuja kuchukua wanyama Africa, wanafanya nini? Utashangaa baada ya miaka michache badala ya watalii kuja Africa, utasikia wanaishia Dubai.

Sisi hata huo uchumi wa mazao umetushinda, na huko kwenye knowledge economy ndiyo kabisaaa, hatujaanza hata kuamka.
 
Ukisema modern city una maana gani?
. Behind those few tall structures , Dubai has nothing special ni kama Cairo tu.
Dubai inachipukia kama Financial Center kubwa sana ya Middle East and Africa, na inakimbilia kutikisa dunia.

 
Dubai inachipukia kama Financial Center kubwa sana ya Middle East and Africa, na inakimbilia kutikisa dunia.

Kumbe inachipukia ?
Halafu kumbe financial centre kwa africa na middle East hivyo tu.
Unajua uchumi wa africa ni % ngapi ya uchumi wa dunia?
 
Kwani mkuu ukijenga gest na ww ni lazima uwe unaenda kuliamo mbususu za michepuko kama wateja wako au unajenga kwa ajili ya kupata kipato?
Sasa mji umepwndeza wanakuja wageni wanafaidi, hata bia Dubai zipo walizingua Qutary kipindi cha WC.
Sa Dubai.wamejenga fukwe kalii zinafaidiwa na wageni? Hawa jamaa hawana shida na hela mafuta yanawatosha
 
Ukisema modern city una maana gani?
. Behind those few tall structures , Dubai has nothing special ni kama Cairo tu.
Mimi sijarank hizo cities. Ni taarifa za reliable sources na hayo majiji uliyotaja hayamo na almost nusu ya majiji 5 yako Asia. And mind you hata dubai haimo kwenye hiyo list
 
Kumbe inachipukia ?
Halafu kumbe financial centre kwa africa na middle East hivyo tu.
Unajua uchumi wa africa ni % ngapi ya uchumi wa dunia?
Nani kasema financial centre kwa Africa na Middle East ni hiyo tu?

Kwa nini unataja uchumi wa Africa tu?

Dubai imepanda kwa kasi sana katika miaka michache tu iliyopita kufikia hapa, swali lako umeuliza Dubai ina nini cha ajabu zaidi ya majengo tu?

Jibu hili hapa, Dubai ni Financial Center ya kwanza regionally na ya 17 duniani.

List nzima iko kwenye link hapo chini, hakuna hata nchi moja ya Afrika.

Umetaka kujua tofauti ya Cairo na Dubai, ndiiyo hii.


Usione majengo tu, Waarabu wanajipanga kuingia kwenye uchumi wa finance mafuta yakikosa soko.

Kitu ambacho ni impressive zaidi ni kwamba Dubai imeanza mipango ya kuingia kwenye finance seriously only in the last 25 years or so.


Dubai ranks as regional first, 17th globally in Global Financial Centres Index​

Abu Dhabi followed Dubai as second regionally, with a global rank of 32 on the list

Dubai has reigned “supreme in the Middle East,” sitting in 17th place of the Global Financial Centres Index 32 by Bloomberg.

Abu Dhabi followed Dubai as second regionally, with a global rank of 32 on the list. Doha was ranked 57 and Riyadh 98.

New York and London retained their positions as world’s top two financial centers, but there was a change in third position. Singapore made a big jump of three places and took over from Hong Kong, which was pushed down to No4, after being battered by its strict COVID-19 protocols and an exodus of talent.

Also, Dubai climbed to No9 in the ‘Future Prospects’, in which the GFCI questionnaire asks respondents which centres they consider will become more significant over the next two to three years. Dubai got 63 mentions, while Abu Dhabi was tied 12th with 40 mentions.

“The index, compiled by think tanks Z/Yen Partners and the China Development Institute, ranks 119 financial centers and uses data collected from thousands of financial services professionals responding to an online questionnaire,” Bloomberg said.
 
Sheikh yakhe yakhe hasira za nini JF ?????Huwezi pokea hoja kinzani au unaogopa mawazo mbadala kama msomi?????Unadhani ukitukana nitapungukiwa na kitu chochote!!!!Be serious sheikh
Wewe Debe tupu toka lini ukawa na hoja ya maana? Vicomment vyako humu JF vyote ni kuhusu kukashifu imani za wengine,hoja gani ya maana uliyoitoa hapa?
 
Sasa mji umepwndeza wanakuja wageni wanafaidi, hata bia Dubai zipo walizingua Qutary kipindi cha WC.
Sa Dubai.wamejenga fukwe kalii zinafaidiwa na wageni? Hawa jamaa hawana shida na hela mafuta yanawatosha
Wanatanua uchumi wao kwa sababu wanajua dunia inayokuja mafuta yatakuwa hayana soko kama sasa.

Ndiyo maana unaona wanaingia kwenye finance na utalii sasa.

Tumeingia dunia ya kutumia akili zaidi kuliko rasilimali nyingine yoyote.
 
Sio Dubai tuu hata Singapore tulikuwa sawa pia
Tena Singapore wao hata mafuta hawana.

Halafu ki nchi chenyewe, ukiikata Dar es salam mara mbili pasu pasu, hiyo nusu ya Dar inakuwa kubwa kuliko Singapore!

Dar es salaam ni 614 square miles.

Singapore ni 281 square miles.

Tanzania GDP per capita ni $1100.

Singapore GDP per capita $72,794

Wametuzidi mara 66.
 
Tunalipa kodi ,hao walio pewa dhamana ya kufanya hayo wanakuwa wapi hadi linakuwa korongo,ndo ujue weusi ni mabwege[emoji2]
mbona michango ya kujenga mashule na zahanati huwa mnachangishwa na wakati mnalipa kodi,sio mbaya kujitolea kwenye mazingira unayoishi
 
Back
Top Bottom