Hizi ni porojo ,nilitegemea utakuja Kuni prove wrong na kuthibitisha kuhusu Hawa kuzaa na nyoka ,badala umekuja kutoa lawamaNikuambie tu bwana hamis.
Mungu ni wa watu wachache.
Hajawahi kuwa wakundi kubwawakati wa nuhu watu wa nne,wakati wa sodoma na gomora watu nane, wakati wa eliya 7000, wakati wa daniel 4.
Wwkati wa yesu 12, hata wale sabini walipungua,.
Imekuwa hivyo daima,na jua kiwa mofumo yoote ya kidhehebu haihusiani kitu na ukristo.
Ni mafundisho ya akili za watu.
Yesu alifukuzwa kanisani kwanini??
Kwa sababu ya maundisho yake yalipungana na mafundisho yao.
Eliya alifukuzwa hivyo pia, mikaya alifukuzwa hivyo pia kwenye umoja wa manabii.
Yohana alitoka porini, wesley, Martin luther na wengineo woote walipinga mifumo ya udhehebu(dini)
Na mungu anatuma mtu pale tu ambapo watu wameacha njia yake.
Kama unadhani wakati tynaoishi nisalama na Mungu hana muda endelea.
Lakini jua wakati nuhu anatengeneza safina hawakumueleea,wala luthu na sodoma,wala yesu wala mitume,
Hivyo na sasa.
Biblia inasema ni kundi dogo sana litakalopata neema hio,
Kwaio maadamu ulibahatika kusikia ukaipuuza na kuikejeli endelea na io njia.
Ila kama utahitaji moja ya mahubiri yake nitakupa.
Kupambana kivipi??Kwanza Yesu hakupinga hayo madhehebu,Bali alipambana na jinsi walivyokuwa wanaharibu na kupotosha maandiko
Zaid aliwasifia anasema HAKI YENU ISIPOZIDI HAKI YA MAFARISAYO ,HAMTAUONA UFALME WA MUNGU
Branham ni nabii wa uongo Mzee, umedanganywaje na huyu jamaaKupambana kivipi??
Kupambana ndio kupinga kwenyewe
HujajibuH
Hizi ni porojo ,nilitegemea utakuja Kuni prove wrong na kuthibitisha kuhusu Hawa kuzaa na nyoka ,badala umekuja kutoa lawama
1. Mwanzo 4:1 inasema wazi kuwa Adamu alimjua Hawa akazaa Kaini ,
je, hiyo haipingani na fundisho la “seed serpent”?
2. Je, nyoka au shetani ana uwezo wa kuumba au kuzaa wanadamu, ilhali Biblia inasema Mungu pekee ndiye Muumba?
3. Kama “kula tunda” kwenye Mwanzo 3 ni tendo la ngono, kwa nini sehemu nyingine Biblia inapotaja “kula tunda” haimaanishi ngono?
4. 1 Yohana 3:12 inasema Kaini alikuwa “wa yule mwovu” kwa matendo yake, si kwa kuzaliwa ,
je, hii haiondoi hoja kwamba Kaini ni uzao wa nyoka?kama tapeli Branham anavyodai Hawa alizini na nyoka
5. Yohana 3:16 inasema wokovu ni kwa kila mtu amwaminiye ,
je, fundisho la “mbegu ya nyoka” linalosema baadhi ya watu hawawezi kuokoka halipingani na injili ya Kristo?
JIKITE HUMO ,acha porojo na kunilaumu,
Branham ni nabii wa uongo Mzee, umedanganywaje na huyu jamaa
Nikuulize walikula tunda gani tulitafute tule tenaH
Hizi ni porojo ,nilitegemea utakuja Kuni prove wrong na kuthibitisha kuhusu Hawa kuzaa na nyoka ,badala umekuja kutoa lawama
1. Mwanzo 4:1 inasema wazi kuwa Adamu alimjua Hawa akazaa Kaini ,
je, hiyo haipingani na fundisho la “seed serpent”?
2. Je, nyoka au shetani ana uwezo wa kuumba au kuzaa wanadamu, ilhali Biblia inasema Mungu pekee ndiye Muumba?
3. Kama “kula tunda” kwenye Mwanzo 3 ni tendo la ngono, kwa nini sehemu nyingine Biblia inapotaja “kula tunda” haimaanishi ngono?
4. 1 Yohana 3:12 inasema Kaini alikuwa “wa yule mwovu” kwa matendo yake, si kwa kuzaliwa ,
je, hii haiondoi hoja kwamba Kaini ni uzao wa nyoka?kama tapeli Branham anavyodai Hawa alizini na nyoka
5. Yohana 3:16 inasema wokovu ni kwa kila mtu amwaminiye ,
je, fundisho la “mbegu ya nyoka” linalosema baadhi ya watu hawawezi kuokoka halipingani na injili ya Kristo?
JIKITE HUMO ,acha porojo na kunilaumu,
Kaini alitoa wapi tabia za ibilisi.H

Mwanzo 2:8-9H

Hata yesu alisemekana hivyo pia,Branham ni nabii wa uongo Mzee, umedanganywaje na huyu jamaa
Nikuulize tenakwanini baada ya kula tunda wakajiona uchi,wakajificha sehem za siri.H
Hizi ni porojo ,nilitegemea utakuja Kuni prove wrong na kuthibitisha kuhusu Hawa kuzaa na nyoka ,badala umekuja kutoa lawama
1. Mwanzo 4:1 inasema wazi kuwa Adamu alimjua Hawa akazaa Kaini ,
je, hiyo haipingani na fundisho la “seed serpent”?
2. Je, nyoka au shetani ana uwezo wa kuumba au kuzaa wanadamu, ilhali Biblia inasema Mungu pekee ndiye Muumba?
3. Kama “kula tunda” kwenye Mwanzo 3 ni tendo la ngono, kwa nini sehemu nyingine Biblia inapotaja “kula tunda” haimaanishi ngono?
4. 1 Yohana 3:12 inasema Kaini alikuwa “wa yule mwovu” kwa matendo yake, si kwa kuzaliwa ,
je, hii haiondoi hoja kwamba Kaini ni uzao wa nyoka?kama tapeli Branham anavyodai Hawa alizini na nyoka
5. Yohana 3:16 inasema wokovu ni kwa kila mtu amwaminiye ,
je, fundisho la “mbegu ya nyoka” linalosema baadhi ya watu hawawezi kuokoka halipingani na injili ya Kristo?
JIKITE HUMO ,acha porojo na kunilaumu,
Hivi unajua yesu ameongea nini kuhusu uzao wa nyokaH

Kijana achana na tapeli Branham ,atakupoteza zaidi ,jiulize haya maswali 👇 👇Hivi unajua yesu ameongea nini kuhusu uzao wa nyoka
Unadhani alikuwa anaongelea matendo tuu.
Adamu alimjua mkewe ambae nyoka alishamjua kabla yake.
Ndio maana kaini hakuwahi kuhesabika uzao wa Adam.
Alipozaliwa sethi adam alimshukuru mungu kwa kumrudishia uzao wake wakati huo kaini alikuwepo na hakumhesabu kuwa uzao wake
Yesu unamfananisha na tapeli Branham?acha hii michezoHata yesu alisemekana hivyo pia,
Hajawahi kuja nabii akapendwa
Biblia haisomwi kibubusa hivo, Branham narudi ni nabii wa uongo, ukitaka tumajadili hapa nipo tayari , binafsi sijui dhehebu gani au kikundi gani cha dini sikijui na UTAPELI waoNikuulize walikula tunda gani tulitafute tule tena
Nitakuwa nakujibu kwa maswali ,naiman yatakufungua na utaachana na nabii wa uongo BranhamKaini alitoa wapi tabia za ibilisi.
Alizozaliwa nazo
Mwanzo 2:9 inasema waziMwanzo 2:8-9
[8]BWANA Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya.
[9]BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Hio miti miwili haikutoka ardhini
Yesu mwenyewe alisema “Msiamini kila roho, bali zipimeni rohoni, kwamba zinatoka kwa Mungu” (1 Yohana 4:1). Kigezo cha nabii siyo kuchukiwa na watu, bali ni kama unabii wake unakubaliana na maandiko na unatimia bila kosa (Kumbukumbu la Torati 18:22).Hata yesu alisemekana hivyo pia,
Hajawahi kuja nabii akapendwa
Baada ya kula tunda, Biblia inasema wazi kuwa Adamu na Hawa walitambua uchi wao (Mwanzo 3:7) na wakajificha.Nikuulize tenakwanini baada ya kula tunda wakajiona uchi,wakajificha sehem za siri.
Na kwanini aliambiwa atazaa kwa uchungu.
Nyoka alikuwa ni kitu cherevu kinachokaribiana na mwanadamu, hakuwa huyu anaetambaa kbla yakuambiwa kwa tumbo utaenda na mavumbi utakula.
Alimu approach eve.
Ilimwagika damu ,na ndiomana hilo deni kulipwa imebidi damu tena imwagike.
Kitendo chakujificha sio hatia.Baada ya kula tunda, Biblia inasema wazi kuwa Adamu na Hawa walitambua uchi wao (Mwanzo 3:7) na wakajificha.
Hali hii haimaanishi walizaliwa na dhambi au walikuwa uzao wa nyoka, bali ni matokeo ya maamuzi yao binafsi ya kutii dhambi.
Kitendo cha kujificha ni kielelezo cha hatia na aibu ya mtu aliyejitambua akikiuka amri ya Mungu.
Kuhusu adhabu ya Hawa ya kuzaa kwa uchungu, Mwanzo 3:16 inafafanua kwamba ni matokeo ya dhambi na kosa la utii, si matokeo ya nyoka kuzini na hawa, Soma biblia taratibu