Pre GE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema d
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Lema si ni wa darasa la saba?
 
Hakuna mwenye busara hata mmoja!
Huyu lema anaejiita yeye ni mchagga na hagombanii ubunge wa ajili ya ajiri bali ni kwa ajili ya wito πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Huyu lema anaejiita yeye ni mchagga na hagombanii ubunge wa ajili ya ajiri bali ni kwa ajili ya wito πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Pesa mbele!
 
Yani Lema ndio awe makamo mwenyekiti kabisa yani chama hakina watu kabisa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiacha kuropoka Lema ana chanini cha ziada kuwa mwenyekiti? Elimu yake?
Alishaendaga CANADA na kaache mke kule ambae sio mzee kivile sasa sijui kule anawezaje kuvumilia aisee
 
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
CHADEMA (Chagga Development Manifesto)

Kama Mwenyekiti siyo Mchagga BAKI NA UTOPOLO WAKO
 
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.

Hakuna mwenye busara hata mmoja hapo, chama kitawashinda...
 
Yani Lema ndio awe makamo mwenyekiti kabisa yani chama hakina watu kabisa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiacha kuropoka Lema ana chanini cha ziada kuwa mwenyekiti? Elimu yake?

Kwa Hawa viongozi tulionao chama tawala, nitajie ambae Elimu yake imewahi kutusaidia.
 
Kwa Hawa viongozi tulionao chama tawala, nitajie ambae Elimu yake imewahi kutusaidia.
Kwanza muulize nchi hii imewahi lini kuibiwa na watu wa darasa la saba!!??

Dili zote chafu zinapigwa na wasomi wetu tena wengine ni Maprofesa.

Sipingani na viongozi kuwa wasomi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…