Pre GE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

Pre GE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Poa tu. napo huku kwengine

Raisi wa JMT atakuwa Mwenyekiti wa CCM

Makonda Makamu Mwenyekiti na Waziri Mguu

Katibu H.Polepole.

...CHADEMA dola mpaka 2050.
Kama familia yako Pekee ndio inasmuch nani ashike dola nchi hii sawa lakin kinyume chake jiandaen kupiga deki kwenye makorido ya lumumba.
 
Duu mbona safu yote imejaa wavuta bangi na watu waliojaa uropokaji, ukurupukaji na mihemuko? Hao wote hawana uwezo wa kuongoza chama hasa kwa kuzingatia chama kimejaa vijana waliozibuka akili na waliokosa breki ya midomo na muunganiko mzuri wa akili na midomo yao.

Kwa hakika chama kitakwenda kihuni kihuni zaidi ya hivi kilivyo sasa.
 
Hata kama ingekuwa ipo chembe ya ukweli,ni bora mara elfu kumi kuliko lile la wala kwa urefu wa kamba🤣
 
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Chama cha wachaga hiko, Mwenyekiti lazma awe wao.
 
Kwa ivo Heche na Sugu ni wachaga??

Hii ni propaganda ya kishamba sana na ya kizamani.
Hawa ni wanatumika tu na siku wakijitambua lazima watatimua kama wale ambao hawakuwa wachaga walivyotimuka baada ya kugundua kuwa cdm ni mali ya mbowe na famila yake.Angalia anavyomweke mbele mpuuzi kama Lema kwa kuwa tu ni mchagga mwenzie
 
Acha hoja zinazokufananisha na wasio na akili!!
 
Back
Top Bottom