Pre GE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

Pre GE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa ni wanatumika tu na siku wakijitambua lazima watatimua kama wale ambao hawakuwa wachaga walivyotimuka baada ya kugundua kuwa cdm ni mali ya mbowe na famila yake.Angalia anavyomweke mbele mpuuzi kama Lema kwa kuwa tu ni mchagga mwenzie
Usiwasanue.
 
Trust me hao wanatumika tu, hata wewe unatumika ila mtakuja kugundua kumekucha...
Nani anayetutumia.

Na wachaga walioko CCM wanatumiwa na nani. Ni kwa nini wasiende kwenye chama chao cha wachaga??
 
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Mdude huyu boga la Uyole Sokoni?
 
CCM hakuna upuuzi wa kikabila...

Chama kina mizizi kila sehemu ndani ya nchi hii...
Hivi unajielewa wewe!!??

Msigwa ni mchaga?

Yaani kwa kuwa mbowe ni Mchaga basi chama kimeshakuwa ni cha kichaga.

CCM kamati Kuu yake ina waislam karibia asilimia 75, je ni chama cha kiislam??
 
Hivi unajielewa wewe!!??

Msigwa ni mchaga?

Yaani kwa kuwa mbowe ni Mchaga basi chama kimeshakuwa ni cha kichaga.

CCM kamati Kuu yake ina waislam karibia asilimia 75, je ni chama cha kiislam??
Umemsoma Chacha?

Au nikuache!
 
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Marekebisho Mwenyekiti Lissu Katibu mkuu MSIYEMTAKA Kamanda MBOWE
Makamu bara ni HECHE
Zanzibar hakuna mabadiliko

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Ngoja Makamanda wenzako waje wakuparue kwa kuliacha jina la Kamanda wako mkuu Freeman Aikael Mbowe.

Halafu mbona hujamuweka Bosi wako Mchungaji Peter Msigwa kwenye huo uongozi mpya?
 
Mnyika ni zao la siasa majadiliano apumzike au abadilike staili ya kaka ake mbowe.

Lisu ,lema na heche style Yao itafanya CCM kugeukia kibra mapema

Wananchi wako tayari na wanakosa mtu wa kuwapushi Ili lundo wauwawe na poLccm Ili CCM iisome namba
Style ya kaka yake Mbowe ni ipi?.
 
Back
Top Bottom