Pre GE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

Pre GE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Tundu Lissu asijaribu kuonja sumu. Uenyekiti ni mali halali ya Mbowe. Hawezi kumwachia mtu. Labda wabadili katiba wawe na ile nafasi kama ya ACT ya kiongozi mkuu wa chama.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Mdude awe kiongozi, chama gani hicho, huyo anafaa uanaharakati.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Kichekesho kingine Lisutundu matusi yote hayo hotuba zake kukashifu na kutukana tu, hamna kitu hapo.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ngoja Mkamanda wenzako waje wakuparue kwa kuliacha jina la Kamanda wako mkuu Freeman Aikael Mbowe.

Halafu mbona hujamuweka Bosi wako Mchungaji Peter Msigwa kwenye huo uongozi mpya?
Bosi wa nani??

Huwa wamuwezi kutembea bila ya kuigiza kuwa mna ulemavu??
 
Maneno yasiwe Mengi.

1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu

2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema

3.. Katibu Mkuu - John Heche

4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali

5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
Hiyo namba 4 umemtupa jongoo na kijiti
 
Back
Top Bottom