Na yenyewe ni ya kuhoji pia wakifabynya hivyoMbona chadema wanawafukuza hata wanaohoji mapato na matumizi tu?
Kazi ya uMakamu ni ukasuku. Fanya yale tu unayotumwa na kuagizwa ufanye na boss wako hata kama wewe hukubaliani nayo na pengine siku ukiwa Rais ungefanya tofauti kabisa na anavyofanya boss wako. Yule JD Vance ana vitu vingi sana vinavyomkera kwa Trump lakini analazimika kukubaliana nae hivyohivyo. Rais Samia alikuwa anafanya kama alivyokuwa anaagizwa kufanya na Magufuli hataka yeye alikuwa na mtizamo tofauti na yeye kwwnye jambo alilomwagiza kufanya.Na yenyewe ni ya kuhoji pia wakifabynya hivyo
So badala ya kujificha kwenye kichaka cha 'Chadema pia wanafanya' ungejibu hoja yako kuwa Nchimbi alikuwa kituko kwa namna gani
Nchimbi ndiye hana akili hapo, au huoni? Angesubiri kwanza awe Rais ili aweze kutekeleza mawazo yake hayo kwa namna na speed anayoitaka yeye maana hii katiba sio ya leo wala ya Samia. Ilikuwepo hapo tangu 1977, hivyo haikuwa na udharura huo uliompofusha akili na kazi yake. Angeenda poolepoole hadi akikalie kiti cha urais au angetumia dialogue ndani ya chama humohumo kuwashawishi maCCM wenzake waandike Katiba.Mbona hapo mwenye akili ni nchimbi .... huyo mwingine anafanya maigizo ya kuwahadaa wananchi ..... kitu pekee mnachopaswa kutambua ni Tanzania wa leo anaona na kufahamu kila kitu .endeleeni na maigizo
Nchi ni kubwa hii, Mwigulu peke yake hawezi kukanyaga kila sehemu. Na huo ndio utajili walionao CCM wa kuwa na watu wwngi wenye mvuto na akili.Kwa sasa beat halieleweki kila mmoja anacheza kivyake!
Waziri mkuu kafunikwa na makonda,ndejembi nae yupo mzigoni
Hadi eda iishe tutaona mengi!!
Wahenga walisema. Kitanda usichokilalia huwezi jua kunguni wake.Sijui kwanini, sisi wenyewe tunajiona hovyo lakini nchi nyingine zinatuona baab kubwa. Zinatuona tuko kwenye mstari ulionyooka kuliko wao. Kila anaekuja hapa hataki kurudi kwao.
Nchimbi ni fahari ya Watanzania wote wapendao hakiNchimbi alifanya vituko gani?
Maana Hadi Leo CCM hajasema ni kosa gani kubwa alilofanya Hadi kumfukuza kutoka kwenye serikali na kumvua uanachama wa CCM
"Hata wanaohoji mapato na matumizi." Hiyo ni sababu. Haya tuambie nyie Nchimbi alikosa nini?Mbona chadema wanawafukuza hata wanaohoji mapato na matumizi tu?
Huyu ni matanganyika fake, mkatoliki fake, yuko pale kulinda maslahi ya mafisadi wa kizanzibari na wa dini yake halisiMh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9