Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

Vyombo vya dola ni mali ya ccm CHACHA
Vyombo gua dola si mali ya ccm
KABUDI
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ , yani mnachekesha sana.
 
Yeye na babu yake Kambona ni wasaliti kwa nyakati tofauti. Simaanishi wangoni sio watu wa kuwaamini mkiwa kwenye mtumbwi mmoja.
Yes kwa kusema watanzania piganieni katiba mpya?

Mbona nyie ndio mnawasaliti wananchi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Vyombo vya dola ni mali ya ccm CHACHA
Vyombo gua dola si mali ya ccm
KABUDI
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ , yani mnachekesha sana.
Jichanganyeni tena kama vile. Tumeshawahilite tayari bado kubonyeza delete button tu muende kwenye recycle bin.
 
Yes kwa kusema watanzania piganieni katiba mpya?

Mbona nyie ndio mnawasaliti wananchi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umsaliti mwananchi uliyemsambazia umeme, maji, shule, hospitali, internet, mbolea, mbegu na barabara. Au hujui maana ya usaliti nini?
 
Umsaliti mwananchi uliyemsambazia umeme, maji, shule, hospitali, internet, mbolea, mbegu na barabara. Au hujui maana ya usaliti nini?
Kwa kodi za nani? Unamsaada gani wewe?
Mnaiba, mnaua, ufisadi, nchi haieleweki,
CAG?
Ali kibao
Ndugai nani alimfata kumtaka ajiuzulu wakat yeye ni mhimili unaojitegemea kwanin aingiliwe?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Qmamakd mnaona watu wajinga?
 
Sijui kwanini, sisi wenyewe tunajiona hovyo lakini nchi nyingine zinatuona baab kubwa. Zinatuona tuko kwenye mstari ulionyooka kuliko wao. Kila anaekuja hapa hataki kurudi kwao.
Ndo maana ya ubinadamu kazi
 
Kosa la Nchimbi au hicho kituko kilichofanya afukuzwe uanachama ni kipi chawa wa Lumumba.
 
Mnahangaika sana aloo. Lakini sisi tunafahamu kuwa hata China watu kama nyinyi wanao lakini wanajua namna ya kuishi nao. Hata hapa tunaendelea kujifunza namna ya kuishi na watu kama nyie mnaopenda kubahatisha na kuona itakuwaje.
Rubbish
 
Hebu tuambie alisaliti kwa kufanya kitu gani
Mnakuwa kama vile namna gani.

Yeye anajua kuwa ni Makamu wa Rais, Rais akiondolewa au akipoteza uhai au ukiumwa yeye ndiye anaapishwa kuwa Rais. Nchimbi anajua kuwa Oct29 wananchi walipambana wakachoma kila kitu na watu wakapoteza uhai wao kwenye kupambana huko. Nchimbi kasema anaekwamisha mchakato wa katiba kuanza ni Rais hakuna mtu mwingine. NCHIMBI sasa anachochea wananchi wapambane kupata Katiba bila kuwaeleza wapambane vipi na wapambane na nani. Alishawapa code kuwa mawaziri na yeye ni washauri tu lakini mwenye mamlaka ya kuandika Katiba ni Rais.

Hata bumunda analiona kosa lake
 
Inachofanyika ni tengeneza wajinga wengi ili wachache welevu waendelee kutafuna keki
 
Maana ni Ile Ile
Kwani dhambi kukubali kukosolewa!
Kiswahili kiko wazi kabisa hapo halafu we unasema kuvuliwa na kufukuzwa maana ni ile ile! Hujui kwa nini CCM hawakutumia neno kumvua uanachama kama kwa Malisa badala yake Nchimbi akafukuzwa
 
Back
Top Bottom