Gentleman,funaku
Tlaatlaah
KERATO MOMBAA
gallow bird
MamaSamia2025
Samia atosha tukutane2030
ChoiceVariable
Lucas Mwashambwa
narogo
Pascal Mayalla
Tunaomba muongozo juu ya hili
siogopi kibwengo yoyote ndani au nje ya JF gentleman.Usipojibu najua umemuogopa😂
Hoja za kavulata umezisoma juu ya nchimbi?😂😂siogopi kibwengo yoyote ndani au nje ya JF gentleman.
TANZANIA ni nchi ya amani bana, kulikoni uishi kwa kuogopa raia mwema?🐒
Gentleman,Hoja za kavulata umezisoma juu ya nchimbi?😂😂
Kwani hiyo katiba mpya mchakato wake upo au haupo?Mnakuwa kama vile namna gani.
Yeye anajua kuwa ni Makamu wa Rais, Rais akiondolewa au akipoteza uhai au ukiumwa yeye ndiye anaapishwa kuwa Rais. Nchimbi anajua kuwa Oct29 wananchi walipambana wakachoma kila kitu na watu wakapoteza uhai wao kwenye kupambana huko. Nchimbi kasema anaekwamisha mchakato wa katiba kuanza ni Rais hakuna mtu mwingine. NCHIMBI sasa anachochea wananchi wapambane kupata Katiba bila kuwaeleza wapambane vipi na wapambane na nani. Alishawapa code kuwa mawaziri na yeye ni washauri tu lakini mwenye mamlaka ya kuandika Katiba ni Rais.
Hata bumunda analiona kosa lake
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Kwamba ccccm Kuna Wenye akili au wanafiki?Nchi ni kubwa hii, Mwigulu peke yake hawezi kukanyaga kila sehemu. Na huo ndio utajili walionao CCM wa kuwa na watu wwngi wenye mvuto na akili.
Kwanza lazima wazunguuke kule kote alikopita Heche ili kufuta mikojo yake aliyodondosha kuinajisi CCM na serikali.
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Kwa hiyo umekwamishwa?Uko kwenye ilani, na ulikuwa uanze ndani ya siku 100 za kuapishwa.
Asubiri hadi awe rais na wakati anawafahamu wahuni?Nchimbi ndiye hana akili hapo, au huoni? Angesubiri kwanza awe Rais ili aweze kutekeleza mawazo yake hayo kwa namna na speed anayoitaka yeye maana hii katiba sio ya leo wala ya Samia. Ilikuwepo hapo tangu 1977, hivyo haikuwa na udharura huo uliompofusha akili na kazi yake. Angeenda poolepoole hadi akikalie kiti cha urais au angetumia dialogue ndani ya chama humohumo kuwashawishi maCCM wenzake waandike Katiba.
Hata hivyo, nadhani Nchimbi anayo makosa mengine makubwa zaidi kuliko haya tunayoambiwa.
Wakati wanaandaa ilani hawakujua kama kuna mapinduzi yaliandaliwa. Na kusema ukweli mapinduzi yale hayakuwa ya chadema tu, bali hata wanaCCM walikuwemo mule. Huwezi kuandika katiba kwenye mazingira ambayo wengine wamekatwa vidole, wengine wamepoteza mali zao na wengine wana misiba, wengine majeraha na wakati huohuo hela nyingi sana zinahitajika kurejesha huduma zilizoharibiwa.Kwa hiyo umekwamishwa?
SIjui ni nani alimpendekeza Nchimbi kuwa Katibu wa CCM na baadae Makamu wa Rais hata baada ya kukosa adabu kwa kumuunga mkono Lowassa kupinga maamuzi ya chama ya kumteua Magufuli kuwa mgombea.Asubiri hadi awe rais na wakati anawafahamu wahuni?
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Kumbe, kwa hiyo bado hayajaisha?Wakati wanaandaa ilani hawakujua kama kuna mapinduzi yaliandaliwa. Na kusema ukweli mapinduzi yale hayakuwa ya chadema tu, bali hata wanaCCM walikuwemo mule. Huwezi kuandika katiba kwenye mazingira ambayo wengine wamekatwa vidole, wengine wamepoteza mali zao na wengine wana misiba, wengine majeraha na wakati huohuo hela nyingi sana zinahitajika kurejesha huduma zilizoharibiwa.