Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

Kichwa maji naona unajaribu kupambana sana ili Lucas akuingize kwenye mfumo wa kupata buku saba za lumumba ila cha kusikitisha huna hoja za msingi za kuwafanya wakuweke kwenye daftari lao Yani unaleta Uzi ambao hata haieleweki wewe hujiulizi hata reaction zao kwenye nyuzi zako hazipo😀😀
 
Nchimbi alifanya vituko gani?
Maana Hadi Leo CCM hajasema ni kosa gani kubwa alilofanya Hadi kumfukuza kutoka kwenye serikali na kumvua uanachama wa CCM
Sio "kumvua uanachama wa CCM" sema "Kufukuzwa uanachama"
 
Kazi ya uMakamu ni ukasuku. Fanya yale tu unayotumwa na kuagizwa ufanye na boss wako hata kama wewe hukubaliani nayo na pengine siku ukiwa Rais ungefanya tofauti kabisa na anavyofanya boss wako. Yule JD Vance ana vitu vingi sana vinavyomkera kwa Trump lakini analazimika kukubaliana nae hivyohivyo. Rais Samia alikuwa anafanya kama alivyokuwa anaagizwa kufanya na Magufuli hataka yeye alikuwa na mtizamo tofauti na yeye kwwnye jambo alilomwagiza kufanya.
Sio kila mtu anaweza kuishi kwenye kivuli cha mtu, watu wengine akili zao kubwa, experienced. Exposure capacity, hawana unafiki...
Tuwaache watu kama Mungu alivyowaumba, Nchimbi mlikua mnamjua, hajaanza kukutaa ujinga leo, mlitaka kum-corrupt ikashindikana..shame on you ni chama chenu kinachoonea watu tu,
 
Wahenga walisema. Kitanda usichokilalia huwezi jua kunguni wake.
Mimi mtanzania wa kawaida kabisa naweza nisijue maana ya maendeleo ni nini lakini ninachoweza kuona ni njia ya kwenda kwetu ina lami, nimelala na kuamka salama, mabasi yanatembea hata usiku, kijijini kwetu kuna shule, zahanati, umeme na maji. Naangalia mechi hukuhuku kijijini, tz ina timu 4 zinazoshiriki mashindani ya CUF, wachezaji wa nchi nyingi hata zile kubwa South Afrika wanacheza ligi yetu, hakuna anaelala na njaa, na hakuna asiyekuwa na pakulala, ardhi ipo hata nikitaka kulima, kufuga, kufanya biashara, kuchimba, kuvua leo naweza kufanya hivyo. Sasa kama haya sio maendeleo nitakuwa sijui maendeleo ni nini? Kwanza sihitaji maendeleo zaidi ya haya.

Ubepari unaendelea kufeli duniani kila siku na ujamaa unaendelea kumea na kuzaa matunda. Kama kuna mtu anaona ubepari ni bora kuliko ujamaa wetu huu pale CCM atapaona pachungu hata awe nani ataondoka kwa aibu. Yaani hata Rais akizingua watamzingua tu. Alichotuachia Nyerere na Karume tutakilinda kama mboni ya jicho kisituponyoke maana hilo ndio zindiko letu kuu kupita yote.
 
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!


View: https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN

Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona

View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9

Description ya Makamu wa Rais ni Muungano na Mazingira.

By the way sasa hivi tunakwenda auto pilot kila mmoja anapiga free style, Makonda anapiga free style kama waziri mkuu anaingia kwenye sekta zote.

Kwahiyo Ndejembi akiamuwa anaweza hata kuwatumbuwa madc na maded huko.
 
Kazi ya uMakamu ni ukasuku. Fanya yale tu unayotumwa na kuagizwa ufanye na boss wako hata kama wewe hukubaliani nayo na pengine siku ukiwa Rais ungefanya tofauti kabisa na anavyofanya boss wako. Yule JD Vance ana vitu vingi sana vinavyomkera kwa Trump lakini analazimika kukubaliana nae hivyohivyo. Rais Samia alikuwa anafanya kama alivyokuwa anaagizwa kufanya na Magufuli hataka yeye alikuwa na mtizamo tofauti na yeye kwwnye jambo alilomwagiza kufanya.
Right. Huo ndio mchezo. Siku madeski yakigeuka na wewe unageuza stori. Kuwa na msimamo ni kituko.
 
Huyu ni matanganyika fake, mkatoliki fake, yuko pale kulinda maslahi ya mafisadi wa kizanzibari na wa dini yake halisi
Mnahangaika sana aloo. Lakini sisi tunafahamu kuwa hata China watu kama nyinyi wanao lakini wanajua namna ya kuishi nao. Hata hapa tunaendelea kujifunza namna ya kuishi na watu kama nyie mnaopenda kubahatisha na kuona itakuwaje.
 
Right. Huo ndio mchezo. Siku madeski yakigeuka na wewe unageuza stori. Kuwa na msimamo ni kituko.
Makamu ni Rais mtarajiwa in case... hapaswi kuwa na njia zinazotiliwa mashaka na boss wake. Nchimbi alifanya uzembe wa hali ya juu kuwahi kufanywa na mtu mwenye akili kamili.
 
Mbona hata wewe ni kituko
Tunawajua nyinyi tantalila nyingi na propaganda
 
Nchimbi alifanya vituko gani?
Maana Hadi Leo CCM hajasema ni kosa gani kubwa alilofanya Hadi kumfukuza kutoka kwenye serikali na kumvua uanachama wa CCM
Yeye na babu yake Kambona ni wasaliti kwa nyakati tofauti. Simaanishi wangoni sio watu wa kuwaamini mkiwa kwenye mtumbwi mmoja.
 
Back
Top Bottom