Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

Rais wa Tanganyika ni waziri Mkuu. Waziri mkuu lazima awe very powerful, mjanja, jasiri na mzalendo kwelikweli.
 
Sijawahi kuona Makamu MPUMBAVU kama Emmanuel Nchimbi, hata uzoefu wake wa kuanzia Chipukizi, UVCCM na Ukatibu Mkuu haukumsaidia kitu. Ukiwa Makamu Rais chini ya CCM huna agenda yako binafsi bali agebda ni ya CCM. Jamaa ana kichwa kikubwa kumbe kimebeba msitu wa nywele tu na macho makubwa
 
Uko vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…