Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #101
Vipi mtu anapotahiriwa na kupigwa ganzi la 3 hrs?Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?
Unajua ganzi ni nini hasa?
Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?
Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.
Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.
Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
Haya ni maneno ya kujifariji tu. Mwamba ngoma ngozi huivutia kwake daima.Vumbi la Kongo halikufanyi usimamishe bali linakupa ganzi
[emoji106]Mimi kama mwanamke,siku nitakayomwona wa ubani anajiboost kwa haya madude badala ya kupambana na lishe na zoezi nitamshusha nyota zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu zimeshaondoka na maisha ya wengi kuna post nyingi humu zishaletwa.Hizi booster kuna siku zitaondoka na maisha ya mtu.
Kwani nyie siku hizi hamridhishwiHahaaaaa kweli na waliridhishwa tu vzuri Bila shida
Mimi kama mwanaume nikiona mwanamke weka make up,nywele za bandia,kucha,yani kwa ufupi anaongeza mwilini kitu cha bandia namvua nyota zote pia,mwanamke inatakiwa awe naturalMimi kama mwanamke,siku nitakayomwona wa ubani anajiboost kwa haya madude badala ya kupambana na lishe na zoezi nitamshusha nyota zote!
Dadavua basi mzee babaNaona watu wanafanya argument za kibiologia kihisia hisia. Yaani mtu anakomaa na kushindwa kutofautisha kati ya cardiovascular system na nervous system. Ingekuwa kufa ganzi ni kutokuzunguka kwa damu basi unapopigwa nusu kaputi wakati uanafanyiwa operation basi damu ingesimama?
Na kama huna nguvu za kiume za kawaida,vumbi la kongo halita kusaidia hata kidogo,mfano labda mtu mwenye kisukari vumbi la congo halitamsaidia kabisa ila viagra,electro zitamsaidia sababu hawezi kusimamishaVumbi la Kongo halikufanyi usimamishe bali linakupa ganzi
Unajuaje ulienae hatumii?Mimi kama mwanamke,siku nitakayomwona wa ubani anajiboost kwa haya madude badala ya kupambana na lishe na zoezi nitamshusha nyota zote!
Hujawahi kuniangusha baunsaHebu niweke sawa.
Mechanism ya uume kusimama ni damu kujaa kwenye uume, damu ikizuiwa uume utasimamaje?
Pia kumwaga hakuna uhusiano na damu kupita na kuingia kwenye uume. Kumwaga ni hisia zaidi.
Kwangu mimi nikiambiwa hilo vumbi linaziharibu nerves nitaamini kwa 57% nikiambiwa vumbi linazuia damu nitaamini kwa 8%
Nawashangaa sana badala ya kufanya mazoezi et yanajiuwa kwa puturu...mimi hiyo kitu naisikia tu na wala sitataka kuijaribu maana kama nikumfikisha mtu kileleni namfikisha vizuri tu na vilio juu kwa utamu anaoupata. Nimegundua mazoezi na kuacha kujichua ndo suluhisho pekee la heshima ya ndoa.Wanaume wa dar, kaz ndogo ivo mpaka utie mavumbi...
Kila jina linaitwa mkuu utafikiri pesa kwa majina mengi.Ukienda maeneo ya g/mboto wanita KIBOKO ya PAULINA
Amani ipo mzee baba natumia style demu anakaa juu anajipimia hivyoooKwa huo mtambi wako wa kwenye avatar yako sijui kama kwenye mahusiano yako kuna amani
Wee unafikiri hizo dawa za wamasai wanazitoa wapi? Kama sio wameridhi kwa mababu wa enzi hizo waliozigundua, haya madawa yapo vizazi na vizazi, lishe na mazoezi ni nzuri kwa wale gemu 3 hadi 4 kwa wiki, lkn kwa gemu za kila siku kwa wale wenye wake wengi lazima watumie na walikua wananywea kwenye chai kila siku.Machifu gani hao tofautisha misosi ya zamani na ulaji wa sasa hivi. Humu mjini Hilo ni janga tuulize sisi wanawake ndo tuwaambje
Mkuu hapana, huenda jamaa akawa sahih because mnaita liremba sijui ...mnajifunga kweny uume for a while, sasa inawezekana Ile dawa ili ilete ganzi lazima iingie ndani kupitia vitundu vidog vya ngozi brother!!!! Sababu haupaki tu, nasikia unajifunga kabisa alaf huku unaendelea na shughuli zingine kabisa sasa kwa nini isikuathiri mpaka kwenye mishipa ya damu? Watu wa aina yenu ndio mnasababisha wanawake waone kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kumbe sio kweli, coz huy demu akakutana na jamaa anaenda dk 10_15 bas atajua ana upungufu, kumbe wewe ulitumia dawa .....!!!! Na vijana wengi hutumia hii kwa madem walio hustle kuwapata lkn madhara yake ni ya mda mrefu sana.... for both sex tena psychologically..... inawezekana kabisa ikiwa na madhara ndugu!!!!Mkuu unachokiongea hakiwezekani kabisa..
Ukikata blood supply kwenye organ yoyote hata saa moja haiishi cell death inaanza kutokea.
Vumbi la kongo linafanya kazi ya kutia ganzi kwenye ngozi na sio kukata blood supply.
Kwanza ili penis i erect inahitaji blood sasa ukikata blood supply inaanzaje kusimama??
Tofautisha vumbi la congo na dawa kama sildenalfil
Yaani kwa uchovu wote huo wa wa saa kumi na mbili jioni hadi saa tano usiku umempa elf 20 tuu!!!!!!
Money is not everything but that's not fair.... Japo pia hakuwa anauza.
Anyways am not concerned.