Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?
Unajua ganzi ni nini hasa?
Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?
Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.
Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.
Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.