Hii ndiyo mitaa kwenye mikoa mbalimbali inayoongoza kwa kuwa na walevi wengi wa pombe

Hii ndiyo mitaa kwenye mikoa mbalimbali inayoongoza kwa kuwa na walevi wengi wa pombe

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Kimara- DSM
Uyole-Mbeya
Ccm-Iringa mjini
Kiboriloni-Moshi
Himo-Moshi
Nyegezi-Mwanza
Manzese-DSM
Tegeta-,Dsm
Tabata-DSm
Kwa mrombo-Arusha
Matejoo-Arusha
Majengo-Moshi
Sanawari-Arusha
Mabibo-Dsm
Buguruni-DSm
Mbagara-Dsm
Mwananyamala-DSm
Sinza-Dsm
Mbezi Magufuli-Dsm
Kigogo-Dsm
 
Embu fanya tafiti kabla hujaandika
Itakusaidia mada zako zipate engagement humu jamii forum.

Mbeya:
Unapafahamu Mafiati, Mwanjela, na forest?
Baa zote muhimu ziko pale
Kuanzia City lounge, Mwailubi, vibaya vya ajabu ajabu na Malaya wa kutisha hili eneo Hadi vichochoroni.

Ilemi
Kuna wanywa wanzuki na mkangafu ule ulanzi.
Baa za kutisha Hadi kwa sanga.
Halafu ndio utaje maeneo mengine
 
Embu fanya tafiti kabla hujaandika
Itakusaidia mada zako zipate engagement humu jamii forum.

Mbeya:
Unapafahamu Mafiati, Mwanjela, na New forest?
Baa zote muhimu ziko pale
Kuanzia City lounge, Mwailubi, vibaya vya ajabu ajabu na Malaya wa kutisha hili eneo Hadi vichochoroni.

Ilemi
Kuna wanywa wanzuki na mkangafu ule ulanzi.
Baa za kutisha Hadi kwa sanga.
Halafu ndio utaje maeneo mengine
Daaaaaah
Aisee hivyo viwanja umenikumbusha mwezi May nilikua Mbeya…….. Ni hatari
 
Kimara- DSM
Uyole-Mbeya
Ccm-Iringa mjini
Kiboriloni-Moshi
Himo-Moshi
Nyegezi-Mwanza
Manzese-DSM
Tegeta-,Dsm
Tabata-DSm
Kwa mrombo-Arusha
Matejoo-Arusha
Majengo-Moshi
Sanawari-Arusha
Mabibo-Dsm
Buguruni-DSm
Mbagara-Dsm
Mwananyamala-DSm
Sinza-Dsm
Mbezi Magufuli-Dsm
Kigogo-Dsm
Bila kuweka Rombo, list yako uzushi
 
Embu fanya tafiti kabla hujaandika
Itakusaidia mada zako zipate engagement humu jamii forum.

Mbeya:
Unapafahamu Mafiati, Mwanjela, na forest?
Baa zote muhimu ziko pale
Kuanzia City lounge, Mwailubi, vibaya vya ajabu ajabu na Malaya wa kutisha hili eneo Hadi vichochoroni.

Ilemi
Kuna wanywa wanzuki na mkangafu ule ulanzi.
Baa za kutisha Hadi kwa sanga.
Halafu ndio utaje maeneo mengine
Uyole pale kati(sio uyole kati) pote palikuwa ni vilabu tu. Nimeenda juzi ndio angalau watu wamenunua wamejenga frem za biashara, mleta sredi yupo sahihi
 
Back
Top Bottom