Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Nasemaje?
Huyo mwamba bado utampa tena na tena.
Mwanaume ndie binadamu hatariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shimba ya Buyenze jazia

Kama nilivyomwambia hapo juu Figo bado ana safari ndefu sana katika kuwaelewa mabaharia. Na hili lingosha likitaka kumla tena litamla tu...potelea mbali hata kama litamtelekeza tena. Wanawake sometimes akili zao wanazijua wenyewe tu....
 
My wangu wala sina baya mie bwana ako tu mwenye ni kivuruge ila unajua kabisa Glenn sio sampuli yangu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Usimpeleke vichochoroni,ni shemejio hiyo😎😎😎😎😎
 
Ungekua na akili ungestuka pale pale alipokupeleka hotelini.
Mwenzio ana familia ndio maana hakutokea, alikua anakesi ya kulala nje.
Halafu wewe? Tangu lini mwanamke akafunga safari ndefu kumfuata mwanaume?
Wanaume ndio hufuata wanawake. Au labda alikuona cheap sana.
 
Mbona alisha sema sema kivile wewe ni kunguni ndio maana unamdomo mchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…