Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo

Tulipanga siku ya mimi kwenda mwaza siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na basasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana

Baada ya kufika siku ya kwaza alinipokea akanipeleka hotel mzuri tu nili lala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa

Ndipo nilipo fika akaanza jiongeleshq oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nika kata simu mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume ata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi
Hiyo inaitwa kupatwa...
 
Huduma yako Haikumridhisha kama alivyo Tarajia,
That, why akaona isiwe Kero, Akasepa zake,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata kama simu yake ilizima chaji au Bize, Hotel anaijua Angekuja tu...
Nikisema full story hapa kama yupo humu itakuwa vibaya ila mpaka kesho anataman nijibu simu yake ila nimeipotezea
 
Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo

Tulipanga siku ya mimi kwenda mwaza siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na basasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana

Baada ya kufika siku ya kwaza alinipokea akanipeleka hotel mzuri tu nili lala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa

Ndipo nilipo fika akaanza jiongeleshq oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nika kata simu mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume ata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi
Unajiuza bei gani?
 
Cha mjinga huliwa na mwelevu
 
Aibu sana Mtanzania kujiuza.
Nchi imejaa fursa nyingi wewe kazi kufuga kucha za bandia na minywele bandia kisha kuuza tigo
Yaah ndio maana wewe ukachagua fursa ya kuuza tigo ili uishi mjini
 
Back
Top Bottom