Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Aliona huna mvuto. Mbona simple tu. Na ushukuru alikupa hata hiyo 100, 000 wengine huwa wanaachwa kwenye mataa. Mkiambiwa tumeni picha zenu mnatuma zilizo filtered. Hamuwi wakweli...
Ahaha tulikuta ofis fulani nasio mtamdaon kama unavyo okota hao unao waokotoa
 
Reactions: 511
Cha kumshauri siku nyingine akipata mwingine asikubali kwenda mpaka ahakikishe Tigbima imelipwa,na ahakikishe muamala umesomeka kwenye Tigo sms..........by the way pole yake alikutana na muhuni wa dunia
Badala ya kumlaumu jamaa, alipaswa ajitafakari yeye mwnyw binti Tatizo liko wapi.

Ingekua Ni mhuni Basi hata iyo laki asingemuachia,angemtoroka kimya kimya.

Hapo Tatizo Ni binti Sio jamaa,

Na laiti jamaa nae angepewa nafas ya kufunguka,Basi najua Hali ya hewa ingechafuka hapa.

Wanaume tunabeba mengi sn kifuani,
Ni ngumu sn kumchana mwanamke Moja Mbili tatu, unamuonea huruma unampa nauli aende zake tu kwa amani.
 
Mtoa mada pole Sana

Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani

Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta

Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga

Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
 
Reactions: 511
Sija mlaumu bali ni vile tu sijataka kuweka story nzima hapa na ili tukio la muda kidogo sasa jana alinitafuta ndio nikakumbuka na mwaza sikuenda kwa sababu yake pekee kipo kilicho nipeleka kule na ndio maana sikuona shida kulipia bill ingekuwa nimfwata yeye tu bas ningeomba omba watu
 
Well said, wewe ni mwanadamizi kabisa kwenye hizi harakati.
 
Au ngosha aliingia pangolin akanona isiwe tabu nini [emoji28][emoji28][emoji28]

Manake kwa harakati hizi kukutana na amboni laweza kuwa jambo la kawaida tu kwa sasa[emoji28][emoji28]
Tuliowahi kulazwa mzena hospital TUSHAELEWA[emoji38][emoji85]
 
Well said, wewe ni mwanadamizi kabisa kwenye hizi harakati.
Sahii mkuu,
Wanaume Sio waongeaji, Sio walalamishi
Usikute jamaa uko anaumia kuliko anavyoumia binti kwa muda nagharama alizopoteza + usaliti aliomfanyia mkewe.
 
Reactions: 511
Sahii mkuu,
Wanaume Sio waongeaji, Sio walalamishi
Usikute jamaa uko anaumia kuliko anavyoumia binti kwa muda nagharama alizopoteza + usaliti aliomfanyia mkewe.
Kuna tatizo la kiufundi mahali, sio lahisi kususa mbususu.
 
Umemkumbuka baada ya Jana kukutafuta?

Kwahiyo unadhan kwamba kukutafuta ndo ishara kwamba kamiss sn show zako za kipind kile au vipi?

Nikwambie tu Mtoa mada bado una Safar ndefu Sana kutujua sisi Wanaume.

Kuna MDA tukiwa idle na nyeg ziko juu Unaweza tamani uparamie hata mgomba ulio mbele ya nyumba yako.

Hata mwehu Akikaa uchi Unaweza mparamia,pua ukaziba ukaingiza hivyo hivyo.

Ila Sio kwamba ukiwa na akili zako timamu,unasehemu ya kueleweka ya kutua haja zako utahangaika namna hiyo.

SIJUI UNANIELEWA VZUR AU BADO?
 
Mimi muoga kwa kweli huwa nawaza nikifa huko kwa kuchunwa ngozi huwa nawaza mambo ya hatari tupu nikifikilia hapo tu siendi [emoji2312]
Ndo maana mtoa mada Watu wanamuona wa ajabu sn, wengine wanamtolea kaul kua anajiuza anatukana.

Hii Ni kwasababu mwanamke kaumbiwa uoga, yeye Yuko tofauti, wanahisi ujasiri huo unaletwa na kufata maslahi (pesa).
 
Aijasema nime mmis ila nikakumbuka ili tukio jiongezi panapo ongezaka na pasipo ongeza usijiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…