Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Chunguza mwili wako, kinywa na kichochoro chako....
By the way, siwezi kumuacha mke wangu sikuzote tatu nilale na wewe aiseeeee...😕
Alafu humu ndani sikuna uzi wa maskhara wa kuzikula nyabe...🙄
Ndio ulimfanyia binti wa watu ukatili huu?
Wakati unamwita ulisahau kuwa umeoa?
Kuna wakati binadamu tumejaa ukatili sana...najua sio wewe lkn
 
Mtoa mada pole Sana

Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani

Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta

Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga

Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
 
Back
Top Bottom