Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Mtoa mada pole Sana

Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani

Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta

Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga

Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
Mh fafanua
 
Si ndo apo anakukosea heshima kabisa yaani mtoto mzuri kama ww kweli uwe malaya

Achana nao washamba wa mwanza, njoo huku iringa sis tuna mapenz ya dhati tena wngine tuko virgin [emoji23]

Yaani ss watu wa iringa hatuna mbamba, tuko true love, nijaribu uone [emoji4]
Umekuwa labaratory?
 
Njoooo kwangu mimi chochote utakacho nitakupa, kuanzia nauli, chakula na mambo yote, achana na hao wenye mambo ya kitoto
 
Ndio ulimfanyia binti wa watu ukatili huu?
Wakati unamwita ulisahau kuwa umeoa?
Kuna wakati binadamu tumejaa ukatili sana...najua sio wewe lkn
Ndio maana minasemaga skuuzi jf imejaa mavijana ya hovyo sana. Hiyo comment yangu umebeba mbadala wa mawazo ya vijana wengi.
Yaani Jf yetu ilikua poa sana, na kilakitu kilukua kimyakimya....😜
 
Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo

Tulipanga siku ya mimi kwenda mwaza siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na basasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana

Baada ya kufika siku ya kwaza alinipokea akanipeleka hotel mzuri tu nili lala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa

Ndipo nilipo fika akaanza jiongeleshq oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nika kata simu mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume ata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi
Kwahiyo unawachukia Wanaume wa Mikoani kwa kutokuwa na Hela au kwa kutokujua Kutomba?

Umetuambia kuwa ulilala nae ila alikuudhi kwa Kutokulipia Chumba ila hujatuambia upande wake wa Kutomba je, alikuridhisha Kitandani au tuhitimishe kabisa kwa kusema Wanaume wa Mikoani ni Wabahili ( hawana Hela ) na hawajui Kutomba pia?
 
Mtoa mada pole Sana

Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani

Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta

Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga

Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
Tuliosoma Cuba tumekuelewa bosi ... halafu pengine pia aliyodhani kuwa yamo hayakuwamo ngosha akaona isiwe tabu 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

Screenshot_20230522_165603_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom