Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Kabisa na hamustahili mgeni mwingine ๐Ÿ˜‚
Japokua nmekua hapo last month
Mm mgeni wangu alinipokea vizuri jaman
Kwa siku 3 sikujuta...Ila kawaida baadhi ya makosa hayakosekan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu ebu njoo PM tuyajenge, kama aje umteme huyo mwenyeji wako nimtunze hapa Mwanza...๐Ÿ˜‹
 
Mi najifurahisha tu mpendwa usinichukulie siriazi.

Itoshe tu kusema huyo ngosha mwenzetu alizingua. Sasa usingekuwa na pesa za kulipia hizo siku tatu ulizokaa hapo ingekuwaje? Hata kama alikuta yaliyopaswa kuwemo hayamo, hakupaswa kufanya hivyo. Angalau angelipia hiyo huduma ya usiku mmoja ndiyo atokomee zake. Pole sana!
Mjinga wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jamaa alimwambia mdeni wake kwamba izo pesa nazokudai peleka home mpe wife!
Jamaa mjanja janja kafika pale akazuga na stori kibao kisha akamwambie mke wa jamaa nikupe laki4 unipe nikutikise vuzzi..

Mke akakubali akapigwa mashine jamaa akaondoka zake!muda kidogo mume anapiga simu kwa mke kama mdeni ameshapeleka pesa!!mke alihisi kuzimia
 
Mi najifurahisha tu mpendwa usinichukulie siriazi.

Itoshe tu kusema huyo ngosha mwenzetu alizingua. Sasa usingekuwa na pesa za kulipia hizo siku tatu ulizokaa hapo ingekuwaje? Hata kama alikuta yaliyopaswa kuwemo hayamo, hakupaswa kufanya hivyo. Angalau angelipia hiyo huduma ya usiku mmoja ndiyo atokomee zake. Pole sana!
Aliacha 100k
Unataka kuniambia mkazi wa Mwanza ataogopa ziwa victoria?
Huu ni uhuni alifanya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kama ni mume wa mtu ulitarajia utakaa nae wiki hapo? Afu wewe unakaa Dar yeye Mwanza unafikiri huko Mwanza hana mtu?

Anyway
Hayo ya kuwa na mtu wala sio shida ila shida time
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu bado huwajui wanaumee?? Woiiiiiih
Mm napenda mwanaume awe na sauti mzuri yaan mwanaume fulani hivi anaongea kivivu
 
Mkuu ebu njoo PM tuyajenge, kama aje umteme huyo mwenyeji wako nimtunze hapa Mwanza...๐Ÿ˜‹
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Aweeeee shindwa kabisa
Niligaramika Ila utelez nao nliufaid๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‹

Dada WA huu uzi hebu njoo naeza nkaoa
 
Back
Top Bottom