Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Shida unatumia kichwa cha chini kuwaza
Kuna mazingira natumia kichwa Cha juu lkn humu haina haja ya kuumiza seli za ubongo wangu kuhakiki kazi ya fasihi nipate ujumbe cjui maudhui
 
Nikisema full story hapa kama yupo humu itakuwa vibaya ila mpaka kesho anataman nijibu simu yake ila nimeipotezea

Itoshe tu kusema kuwa wewe figo76 bado una safari ndefu sana ili kuwaelewa wanaume πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Joannah Depal Shunie To yeye mna chochote cha kumwambia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Glenn una chochote cha kusema kwa niaba ya wanaume wa mkoani
Cha kumshauri siku nyingine akipata mwingine asikubali kwenda mpaka ahakikishe Tigbima imelipwa,na ahakikishe muamala umesomeka kwenye Tigo sms..........by the way pole yake alikutana na muhuni wa dunia
 
Wasukuma sio watu wazuri
Cc Shimba ya Buyenze
Cha kumshauri siku nyingine akipata mwingine asikubali kwenda mpaka ahakikishe Tigbima imelipwa,na ahakikishe muamala umesomeka kwenye Tigo sms..........by the way pole yake alikutana na muhuni wa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…